Tunaomba Umoja wa Mataifa (UN) utupie jicho Zanzibar kwa uvunjifu huu wa haki za binadamu

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
Wazanzibar waathirika tunaiomba UN kitengo cha haki za binadamu kuja kuchunguza madhila tufanyiwayo na CCM na viongozi wake.







Iko haja ya wananchi wa Zanzibar kudai haki yetu ya kimsingi katika umoja wa Mataifa zidi ya huja tunazo fanyiwa wananchi wa kaeaoda na chama tawala.

Iko haja ya kuandika barua na kukusanya ushahidi wa matokeo na kumpa Ndugu yetu Bi Salma Saidi kwenda UN katika kitengo cha haki za kibinadamu kuwauliza.

Je, wananchi wa Zanzibar hawana haki na wametolewa katika kitengo hicho ili kitoa Fursa viongozi wa CCM kufanya watakavyo?

Hivi sasa wananchi wa Zanzibar imekua tunaishi kwa hofu na hatuna tena imani na vyombo vya Serekali Dola kutulina sisi na malizetu imekua wao ndio madui zetu .

WANANCHI WA ZANZIBAR TUNAIOMBA JUMUIYA YA KIMATAIFA KUJALI HAKI ZA WANANCHI WA ZANZIBAR.

Wazanzibar wote walioko nje na wananchi wote wenye kupigania haki za binadamu tunawaomba mufanye mandamano special ya kupaza sauti kutokana na uvunjaji wa haki za binadamu tunavyofanyiwa Zanzibar.

Tunakuomba Dada etu Bi Salma Saidi tukushikishe bendera hii uweze kutataga ulimwengu mpaka New York kwenda kudai haki zetu za wanyonge wa Zanzibar kuonewa.

Why Palala wa Pakistani kaweza? Bi Salma kwa vile ni moja wa victim wa haki za binadam tunataka tukushikishe bendera ili uzunguke ulimwengu kwenda ku up voice ya wananchi wanyonge wa Zanzibar.

Vitendo vilivyofanywa Zanzibar na watawala wamejisahau kwa vile hakuna hatua zozote za UN dhidi ya uchunguzi wa wasirika Zanzibar zilizofanywa.

Tunataka sauti yetu na sisi isikike ili kuletewa watalamu kuja kuchunguza kinachofanyika Zanzibar dhid ya raia .
 
Mhn hii nchi inahitaji maombi tusipo angalia hii itakuja kuingia katika Machafuko japo serikali inajihakikishia kuwa Na jeshi
 
Ha ha ha mmesusa watu wamemaliza msosi!!

Kuna style nilikuwa naitumia kujipatia msosi enzi zile za kuishi kwenye extended family...Nakanyaga Ugali na mguu wenye matope halafu watoto wote wanaondoka wakilia,halafu nachukua ugali naondoa gamba la juu lenye tope na kukandamiza msosi....
 
Poa jingalao
 
UN watakachofanya ni kulaani tu kama wanavyoaali wanasiasa wetu.
Hivi hizi tabia za kulaani huwa zina impact gani kwa mlaaniwa?

utasikia,
UN, wanailaani ISIS, Wanalaani MAshambulio, Wanalaani Uvunjifu wa amani etc
Hii tabia ya kulaani bila kuja na suluisho imetapakaa sasa hadi kwa wanasiasa wetu. Sema nini kifanyike sio mambo ya Laana, mambo yasiyo na Impact wa mlaaniwa
 
Historia inaonyesha jumuiya ya kimataifa Mara nyingi wanaingilia Kati baada ya kutokea vurugu na umwagaji mkubwa wa damu ilikuwa hivyo kwa Rwanda hawakuingilia Kati kuzuia mauaji ya kimbali japo dalili zilikuwa bayana ,kwa kesi ya Zanzibar maalim seif anastahili pongezi kubwa kwa kuthamini maisha ya watu kuliko madaraka
 
we endelea kujitoa akili , unaweza kusema hapa sababu za kurudia uchaguzi wa zanzibar ? Hivi ya Rajabu Rutengwe hujayaona ? kwa taarifa yako wewe ndio utakayefuatia kumwaga chozi hadharani .
 
Muda wa kutimiza ile ndoto ya kujitegemea ndio sasa.
Kuombaomba kumetawala sehemu kubwa sana ya akili za watanzania.
 
watu wengi hawajui kuwa zanzibar ni postponed problem na baadae utakuwa mtego wa panya....
 
Muda wa kutimiza ile ndoto ya kujitegemea ndio sasa.
Kuombaomba kumetawala sehemu kubwa sana ya akili za watanzania.

Usijidanganye! Nchi hii haina miundombinu wala mikakati ya kuishi bila kutegemea misaada toka nje. We lalama sasa hivi lakini cha moto kinjiani chaja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…