Tunaomba sehemu ya USB kwa visimbuzi vya Azam isiwe ya kulipia

J C

JF-Expert Member
Dec 12, 2013
2,972
2,453
Mimi ni mteja wa king'amuzi chenu kabla ya kukinunua niliona kina USB port na kufuatilia nikakuta unaweza weka flash uka play movie au audio.

Kwa Mimi mwenye tv ya kizamani isiyoweza play flash HD nikaona king'amuzi chenu kitanifaa kumbe flash unafanya kazi ukilipia kifurushi kikiisha flash haisomi ng'o hii Nini Tena?

yaani hadi flash kusoma mpaka nayo ulipie?. Tunaomba msifanye hivyo na mtupe wateja option ya kuvifungua ili tufaidi pesa tuliyotoa na kununua hizi decoder.

Asante.
 
Hapendwi Mtu, Inapendwa Pesa
By Jiwe
"Kupenda pesa ni shina la mabaya yote na wengi kwa kujitahidi kufikia upendo huu wamejichoma kwa maumivu mengi sana". Watupe haki YETU. Ving'amuzi vingine waige hii ila waachie hizo port bure watapiga pesa sana. Mie sio mpenzi WA mipira nimekuja kutambua star times ndilo chaguo Bora zaidi kwangu japo Haina USB port.
 
Back
Top Bottom