Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,584
Jeshi letu pendwa limekuwa likishirikiana vizuri na wananchi huko nyuma katika kufanya kazi za jamii mbali mbali
Ombi letu kwa jeshi letu tukufu tar 23 najua wengine tunaenda kusakanya hela
Tunaomba litusaidie kufanya usafi 23 Sept kama lilivyokuwa likifanya siku za nyuma. Kama ni mafagio tutatafuta
Mungu ibariki Tanzania na watu wake