Z zed123 Member Oct 16, 2016 88 66 Jan 7, 2017 #1 Karibu ujifunze vikapu vipya kabisa kwa uzi wa manila
mtimkav JF-Expert Member Aug 28, 2013 1,034 658 Jan 8, 2017 #5 kwani lazima kufuatwa hamuwezi kufundisha online
Z zed123 Member Oct 16, 2016 88 66 Jan 8, 2017 Thread starter #6 mtimkav said: kwani lazima kufuatwa hamuwezi kufundisha online Click to expand... Lazima uje au kama vp tunakufuata
mtimkav said: kwani lazima kufuatwa hamuwezi kufundisha online Click to expand... Lazima uje au kama vp tunakufuata
mkudugwa JF-Expert Member Jul 20, 2015 226 219 Jan 12, 2017 #7 zed123 said: Karibu ujifunze vikapu vipya kabisa kwa uzi wa manilaView attachment 455740View attachment 455741View attachment 455742View attachment 455744View attachment 455745 Click to expand... Vizuri garama ya kufundishwa kiasi gani?
zed123 said: Karibu ujifunze vikapu vipya kabisa kwa uzi wa manilaView attachment 455740View attachment 455741View attachment 455742View attachment 455744View attachment 455745 Click to expand... Vizuri garama ya kufundishwa kiasi gani?
Z zed123 Member Oct 16, 2016 88 66 Jan 12, 2017 Thread starter #8 Ni sh 50000 ndani ya wiki moja au mbili utakua umejua
mkudugwa JF-Expert Member Jul 20, 2015 226 219 Jan 12, 2017 #9 zed123 said: Ni sh 50000 ndani ya wiki moja au mbili utakua umejua Click to expand... 50000?kwa wiki nyingi!
zed123 said: Ni sh 50000 ndani ya wiki moja au mbili utakua umejua Click to expand... 50000?kwa wiki nyingi!
Z zed123 Member Oct 16, 2016 88 66 Jan 12, 2017 Thread starter #10 Sio nying kulingànisha na ujuz unaoupata kwan ndan ya wiki moja unakuwa unaweza kufanya kazi yako mwenyewe na ukajipatia kipato kikapu kimoja hicho unakiuza kwa sh 40000
Sio nying kulingànisha na ujuz unaoupata kwan ndan ya wiki moja unakuwa unaweza kufanya kazi yako mwenyewe na ukajipatia kipato kikapu kimoja hicho unakiuza kwa sh 40000