Pale Kuna Ukakasi Mwingi Live Coverage Dar Tu, Matangazo Yao YanakatikaSasa Television ya Taifa itaoneshaje umahiri π π π
Labda hawataki washine.....wakiona watanzania wengine wanaifanyia nchi kazi roho zinawauma.Tatizo Ni Upuuzi Wa Kudharau Mambo
Hao Uliwataja Kwakuwa Wana Ujuzi Waitwe Chap Chap Wapige Kazi Kwa Siku Mbili Ili Tanzania Waelewe Wageni Wana Mapya Gani
Wataomba radhi π πPale Kuna Ukakasi Mwingi Live Coverage Dar Tu, Matangazo Yao Yanakatika
Tatizo Ni Upuuzi Wa Kudharau Mambo
Hao Uliwataja Kwakuwa Wana Ujuzi Waitwe Chap Chap Wapige Kazi Kwa Siku Mbili Ili Tanzania Waelewe Wageni Wana Mapya Gani
Unshaanza mawe nakuona umeyaweka nyuma ππSasa Television ya Taifa itaoneshaje umahiri π π π
Fairly understood.Problem is, TZ has no internationally reputable media outlet. Neither, TBC nor Azam TV have foreign audiences.
And incase you don't know, it's hard to schedule an interview with international dignitaries, especially heads of states. Unless you're a top-dog like BBC or VOA, you can never make a head of state want to talk to you.
Wao wanaangalia vipaji mkuu ndio kinawaweka mbali wageni π€£For the past 2 hours....the TBC1 guys[don't know even his name] stood a mile away from where leaders are at fumbling in Swahili.