Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,805
Limkutano likubwa mnaweka watangazaji wa TBC wanaowaogopa wageni.
Kikeke yupo hapo....Yunusi yupo hapo. Iteni watu wanaoweza kuwahoji wageni wawahoji Marais kadri wanavyoingia nchini. Hii ni fursa ya kujitangaza na kujijengea heshima.
Tuchangamke wabongo.
Na kesho ndiyo itakuwa aibu kama ilivyokuwa kwa mkalimani wa Dodoma kipindi Magufuli anaapishwa.....Wabongo ambao wanaweza kuzungumza kiingereza wapo ....wapeni nafasi.