Subiri wamalize kwanza kazi ya kuwasimamisha kazi. Huu ni msimu wa Matamko kwanza.
So tumesema Hapakazitu? Sasa ndio iwe kukusanyaji wa kodi za vibiriti, toilet paper nna sabuni toka China na matamko tuu bila mikakati ya kuzalisha wenyewe?Subiri wamalize kwanza kazi ya kuwasimamisha kazi. Huu ni msimu wa Matamko kwanza.
Tokea Kaimu Kamishna wa TRA atangaze kuwa makusanyo ya December yamepanda na kufikia Trilion 1.4 sasa kila kiongozi wa kisiasa huo umekuwa wimbo wa kusifia serikali na kujisahau. Hakuna anayejiuliza jee kuna mikakati gani kuhakikisha makusanyo hayo yanatokana zaidi na uzalishaji wa ndani ambao ndio unaokuza uchumi kuliko sasa hivi kutegemea kodi inayotokana na uchuuzi wa bidhaa zinazoingizwa kutoka nje kama redio,toothpics, vitambaa, sabuni nk nk?
Kuna kila dalili za kuridhika na ukusanyaji wa kodi katika uchuuzi huu wa bidhaa za nje tuu

Tunazungumzia mikakati na mipango kazi ya kueleweka. Miezi miwili bado tuko kwenye kushtukiza na hata hao mawaziri lini umewasikia wanasema wamepanga kufanya nini kupambana na matatizo ya msingi au mbinu za kuanzisha viwanda zaidi ya kufukuzana tuu?Hivyo basi ulitaka viwanda vijengwe vya kutengeneza radio , toothpicks n.k yaani TanZania iwe industrialised ndani ya miezi miwili ya Uraisi wa Magufuli? Hata kama Serikali ya Magufuli ingeanza kujenga kiwanda cha kwanza cha kutengeneza tooth picks siku ilipoapishwa mpaka leo hii Kiwanda kingekuwa bado hakijakamilka kujengwa achilia mbali kuanza uzalishaji, sasa kama ktk hali kama hiyo mtu bado analaumu basi nafikiri wewe ndiyo una matatizo na siyo Serikali ya Raisi Magufuli na ningekushauri utatue matatizo yako kwanza wewe kama wewe!
Tunazungumzia mikakati na mipango kazi ya kueleweka. Miezi miwili bado tuko kwenye kushtukiza na hata hao mawaziri lini umewasikia wanasema wamepanga kufanya nini kupambana na matatizo ya msingi au mbinu za kuanzisha viwanda zaidi ya kufukuzana tuu?
Mipango kazi ipo mfano mpango kazi wa bandari na TRA ni kuhakikisha mapato yote yanakusanywa na hakuna kontainer linaondoka bila kulipiwa malipo stahiki.Tatizo ni hao wasimamia hiyo mipango kazi ndio maana wanatumbuliwa mijipu bandari na TRA na sehemu zingine ili mipango kazi iliyopo ifanye kazi na wabakie wale tu wanaoweza kuisimamia.Tunazungumzia mikakati na mipango kazi ya kueleweka. Miezi miwili bado tuko kwenye kushtukiza na hata hao mawaziri lini umewasikia wanasema wamepanga kufanya nini kupambana na matatizo ya msingi au mbinu za kuanzisha viwanda zaidi ya kufukuzana tuu?
Hahahaha!Subiri wamalize kwanza kazi ya kuwasimamisha kazi. Huu ni msimu wa Matamko kwanza.
Acha chuki mkuu! Rais hana hata siku 90 unaanza kulaumu!! watanzania tuna tabia ya ajabu sana ya kulalamikia kila kitu hata jambo jema linapofanyika! ulitakatiwa kuipongeza Serikali angalau kwa kufikia kukusanya kiasi hicho, japo kuna baadhi ya changamoto za kutatuliwa. pia kumbuka kulikuwa na madudu mengi sana ya serikali iliyopita ambayo bado yanarekebishwa sasa unataka Rais na serikali yake wafanye miujiza ipi ndani ya siku 60?? pia tambua kupanga serikali na mfumo mzuri sio jambo la dk. 1 hasa kama ulikuta mapungufu makubwa ya mtangulizi wako. tujifunze tabia ya ku-appreciate kwanza hasa kitu kizuri kinapofanyikana sio kurusha lawama hovyo!! kwenye mazuri tupongeze kwenye mapungufu tukosoe.Tokea Kaimu Kamishna wa TRA atangaze kuwa makusanyo ya December yamepanda na kufikia Trilion 1.4 sasa kila kiongozi wa kisiasa huo umekuwa wimbo wa kusifia serikali na kujisahau. Hakuna anayejiuliza jee kuna mikakati gani kuhakikisha makusanyo hayo yanatokana zaidi na uzalishaji wa ndani ambao ndio unaokuza uchumi kuliko sasa hivi kutegemea kodi inayotokana na uchuuzi wa bidhaa zinazoingizwa kutoka nje kama redio,toothpics, vitambaa, sabuni nk nk?
Kuna kila dalili za kuridhika na ukusanyaji wa kodi katika uchuuzi huu wa bidhaa za nje tuu
Tokea Kaimu Kamishna wa TRA atangaze kuwa makusanyo ya December yamepanda na kufikia Trilion 1.4 sasa kila kiongozi wa kisiasa huo umekuwa wimbo wa kusifia serikali na kujisahau. Hakuna anayejiuliza jee kuna mikakati gani kuhakikisha makusanyo hayo yanatokana zaidi na uzalishaji wa ndani ambao ndio unaokuza uchumi kuliko sasa hivi kutegemea kodi inayotokana na uchuuzi wa bidhaa zinazoingizwa kutoka nje kama redio,toothpics, vitambaa, sabuni nk nk?
Kuna kila dalili za kuridhika na ukusanyaji wa kodi katika uchuuzi huu wa bidhaa za nje tuu
Hii hesabu rudi ukafanye upya.Hizo trilioni 1.4 ni makusanyo kwa mwezi december hiyo 15% ya GDP umeipigaje umechukua GDP ya mwezi December?.Nchi ili iwe inakua vizuri kiuchumi ni lazima ikusanye walau asilimia 25 ya GDP.Sasa kwahiyo trilion 1.4 hata asilimia 15 hatujafika
Mkuu kuna jambo halijaeleweka hapa, mie sijalaumu ila nimezungumzia wale wanasiasa ambao wamejisahau na kufurahishwa na ukusanyaji wa Trilion 1.4 kama vile kwa mtindo huo wa kukusanya Kodi kubwa kutoka katika uchuuzi wa bidhaa za nje ndio utalitoa taifa hili kwenye Lindi la umasikini.Acha chuki mkuu! Rais hana hata siku 90 unaanza kulaumu!! watanzania tuna tabia ya ajabu sana ya kulalamikia kila kitu hata jambo jema linapofanyika! ulitakatiwa kuipongeza Serikali angalau kwa kufikia kukusanya kiasi hicho, japo kuna baadhi ya changamoto za kutatuliwa. pia kumbuka kulikuwa na madudu mengi sana ya serikali iliyopita ambayo bado yanarekebishwa sasa unataka Rais na serikali yake wafanye miujiza ipi ndani ya siku 60?? pia tambua kupanga serikali na mfumo mzuri sio jambo la dk. 1 hasa kama ulikuta mapungufu makubwa ya mtangulizi wako. tujifunze tabia ya ku-appreciate kwanza hasa kitu kizuri kinapofanyikana sio kurusha lawama hovyo!! kwenye mazuri tupongeze kwenye mapungufu tupongeze.