Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 355
- 1,317
Sisi sasa hivi tumeweka kiporo hoja ya Yanga kufungiwa kusajili kutokana na kumchezea mfumo, lakini tutakapomaliza nafasi ya pili mtatueleza ilikuwaje kuwaje hadi mkafungiwa, tumeshaandaa wanasheria kabisa wa kushughulikia hoja hiyo na wametuhakikishia ushindi upo dhidi ya uhuni katika soka hapa Bongo.
Kila kitu tunakijua, kumbukeni Azim Dewji alipokorofishana na SImba akainunua Sigara ile ya Peter Manyika, akajifanya mjanja akamuiba Manyika kutoka Mtibwa akijua kabisa Manyika ni mchezaji halali wa Mtibwa, hivyo wakaleta ujeuri na kumchezesha, Sigara akiwa anakaribia ubingwa akapokonywa pointi zote na Professa Kapuya na ikateremka daraja.
Tunawaambia Yanga jambo hili halijaisha, kaeni mkijua kuwa yanayoendelea tunayajua, we want Justice not only to be done burt also seen to be done.