Tunaihitaji Chadema Imara Kwa Maendeleo Endelevu... Hebu Wakuu Tuelewane Hapa..

Dialogist

JF-Expert Member
Apr 14, 2014
1,128
1,830
Hamjamboni Wandugu...

Tashtwiti Yangu Ya Leo Ni Juu Ya Chadema Imara Zaidi. Chadema Ya Kipindi Cha Dr. Slaa Na Zito.

Ndugu Wananchi Kwa Mbinu Na Maarifa Waliyotumia Chadema Mwaka Huu Katika Kurudisha Attention Kwenye Jamii Iliyopotezwa Na Hayati Magufuli, Hakika Wanastahili Pongezi Kwa Ubunifu. Naamini Wote Tunakubali Kwamba Hawaelewani, Ila Trust Me Wale Ni Wamoja.

Uchaguzi Wa Tar.21 Mshindi Ni Lissu. Sasa Wandugu Hebu Fikiria Hapa Kuna LISSU, SLAA, PROFESA SAFARI, HECHE, LEMA na Kule ni MUNYIKA. Kila mmoja anazunguka Kwenye Kanda Yake Kunadi Sera Za Chama. Huku Wakisaidiwa Na Covid19 (Wasaliti Wa Mwamba) Nakuhakikishia Mwaka Huu Uchaguzi Utakua Mrahisi Sana. NA chadema Wanaweza Chukua 48% Ya Viti Bungeni.

Let's Hope For The Best. The Bright Future Of Our Tanzania Lies On Our Hands.
 
Back
Top Bottom