Siamini kama wote tunapitia kipindi kigumu. Kipato changu kiko pale pale. mshahara wangu uko pale pale. Safari zangu ziko pale pale!Hakuna asiyejua kuwa Tanzania tunapitia kipindi cha majaribu ya uhuru wa maoni na kujieleza kuanzia mwaka 2015. Katika kipindi hiki kushtakiwa kwa kesi ya uchochezi na kesi za kumdhihaki yule asiyejaribiwa ni kufumba macho na kufumbua. Wananchi na wanasiasa wengi wamekuwa waoga kutumia haki zao za msingi za kutoa maoni, hasa pale ambapo maoni yao yatapingana na mtazamo wa asiyejaribiwa. Lakini nashukuru hatujazimishwa wote, tunao bado wanasiasa vijana machachari Mhe. Lema, Lisu, na Zitto. Hawa tunawategemea kututetea wananchi na kupinga vitisho dhidi ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.
Siamini kama wote tunapitia kipindi kigumu. Kipato changu kiko pale pale. mshahara wangu uko pale pale. Safari zangu ziko pale pale!
Kuna hii tabia ya kuamini yanayokupata na wengine yanawapata. Mtu anaanza kuandika haya eti watanzania tunapitia kipindi kigumu. kigumu kwa lipi? Mimi siyo mwanasiasa na sihitaji jukwaa kuzungumza sera za kazi yangu. Hao wanasiasa wakikerwa, wanashawishi nasi tuwe kama wao. I don't imbibe that idea! Kukamatwa na kuachiwa siyo ubora au ushujaa na hayo ndo yaliyotokea pale Zimbabwe kwa Morgan Tsvangilai, hata kuvunjwa mkono. Baadaye ikaonekana ni mtu bogus tu! Siyo kila anayeonewa ni shujaa.
Tujadili mambo na manufaa makubwa ya kitaifa, siyo haya ya binafsi. Ushujaa wao uko wapi wakati Bunge miaka yote linakula pesa za wananchi bila huruma tena hovyo tu! Sijaona yeyote kati ya hao akija juu kabisa kuzuia kujirundikia posho kama wanavyojionyesha kwa mambo yao binafsi.
HahahahaLissu na Lema hawaongeki. Huyo mwingine ni kinyonga. Lipumba hoyee
Hakuna asiyejua kuwa Tanzania tunapitia kipindi cha majaribu ya uhuru wa maoni na kujieleza kuanzia mwaka 2015. Katika kipindi hiki kushtakiwa kwa kesi ya uchochezi na kesi za kumdhihaki yule asiyejaribiwa ni kufumba macho na kufumbua. Wananchi na wanasiasa wengi wamekuwa waoga kutumia haki zao za msingi za kutoa maoni, hasa pale ambapo maoni yao yatapingana na mtazamo wa asiyejaribiwa. Lakini nashukuru hatujazimishwa wote, tunao bado wanasiasa vijana machachari Mhe. Lema, Lisu, na Zitto. Hawa tunawategemea kututetea wananchi na kupinga vitisho dhidi ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.
Yawezekana kweli kipato chako kiko pale pale, lakini kg 1 ya unga wa mahindi (sembe) ni tsh 2000+ kwa sasa, lakini kipindi cha Kikwete kg 1 hiyo hiyo na ya bidhaa hiyo ilikuwa tsh 800-1000Siamini kama wote tunapitia kipindi kigumu. Kipato changu kiko pale pale. mshahara wangu uko pale pale. Safari zangu ziko pale pale!
Kuna hii tabia ya kuamini yanayokupata na wengine yanawapata. Mtu anaanza kuandika haya eti watanzania tunapitia kipindi kigumu. kigumu kwa lipi? Mimi siyo mwanasiasa na sihitaji jukwaa kuzungumza sera za kazi yangu. Hao wanasiasa wakikerwa, wanashawishi nasi tuwe kama wao. I don't imbibe that idea! Kukamatwa na kuachiwa siyo ubora au ushujaa na hayo ndo yaliyotokea pale Zimbabwe kwa Morgan Tsvangilai, hata kuvunjwa mkono. Baadaye ikaonekana ni mtu bogus tu! Siyo kila anayeonewa ni shujaa.
Tujadili mambo na manufaa makubwa ya kitaifa, siyo haya ya binafsi. Ushujaa wao uko wapi wakati Bunge miaka yote linakula pesa za wananchi bila huruma tena hovyo tu! Sijaona yeyote kati ya hao akija juu kabisa kuzuia kujirundikia posho kama wanavyojionyesha kwa mambo yao binafsi.
Umetumia nguvu kubwa kujadili ubinafsi. Hapa hatujadili familia zetu bali mustakbali wa nchi na vizazi vyetu.Siamini kama wote tunapitia kipindi kigumu. Kipato changu kiko pale pale. mshahara wangu uko pale pale. Safari zangu ziko pale pale!
Kuna hii tabia ya kuamini yanayokupata na wengine yanawapata. Mtu anaanza kuandika haya eti watanzania tunapitia kipindi kigumu. kigumu kwa lipi? Mimi siyo mwanasiasa na sihitaji jukwaa kuzungumza sera za kazi yangu. Hao wanasiasa wakikerwa, wanashawishi nasi tuwe kama wao. I don't imbibe that idea! Kukamatwa na kuachiwa siyo ubora au ushujaa na hayo ndo yaliyotokea pale Zimbabwe kwa Morgan Tsvangilai, hata kuvunjwa mkono. Baadaye ikaonekana ni mtu bogus tu! Siyo kila anayeonewa ni shujaa.
Tujadili mambo na manufaa makubwa ya kitaifa, siyo haya ya binafsi. Ushujaa wao uko wapi wakati Bunge miaka yote linakula pesa za wananchi bila huruma tena hovyo tu! Sijaona yeyote kati ya hao akija juu kabisa kuzuia kujirundikia posho kama wanavyojionyesha kwa mambo yao binafsi.
Japo una Uhuru wa kuchangia lakini una mawazo na fikra za kipuuzi kweli kweli.kWA assesment yangu ya vyama vya upinzani WOTE HAO Wwatatu uliowataja ni wapiga kelele tu hela hawana wanataka kudandia pesa za wengine.Vyama vya upinzani vinahitaji wenye pesa sio wapiga kelele Kama Lisu,Lema na Zitto KABWE.Bila pesa upinzani hupenyi utabaki kupiga tu mayowe barabarani kama mwehu.Wenye pesa zao akina Mbowe,LOWASA ,NDESAMBURO ,MTEI wako kimya wakiangalia tu akina Tundu LISU,Lema na Zitto KABWE wakibwata mabarabarani wakidhani waweza kitwaa chama na kukikakilia juu wampindue mwenyekiti.Chama kina wenyewe wenye pesa zao.Hao wengine waendelee tu kupiga mayowe barabarani
Siamini kama wote tunapitia kipindi kigumu. Kipato changu kiko pale pale. mshahara wangu uko pale pale. Safari zangu ziko pale pale!
Kuna hii tabia ya kuamini yanayokupata na wengine yanawapata. Mtu anaanza kuandika haya eti watanzania tunapitia kipindi kigumu. kigumu kwa lipi? Mimi siyo mwanasiasa na sihitaji jukwaa kuzungumza sera za kazi yangu. Hao wanasiasa wakikerwa, wanashawishi nasi tuwe kama wao. I don't imbibe that idea! Kukamatwa na kuachiwa siyo ubora au ushujaa na hayo ndo yaliyotokea pale Zimbabwe kwa Morgan Tsvangilai, hata kuvunjwa mkono. Baadaye ikaonekana ni mtu bogus tu! Siyo kila anayeonewa ni shujaa.
Tujadili mambo na manufaa makubwa ya kitaifa, siyo haya ya binafsi. Ushujaa wao uko wapi wakati Bunge miaka yote linakula pesa za wananchi bila huruma tena hovyo tu! Sijaona yeyote kati ya hao akija juu kabisa kuzuia kujirundikia posho kama wanavyojionyesha kwa mambo yao binafsi.
Japo una Uhuru wa kuchangia lakini una mawazo na fikra za kipuuzi kweli kweli.
Nadhani umeathilika kwa kiasi fulani. Unafikia hatua ya kutetea viroba eti tu kwa sababu wana nembo ya TBS! Aspirin ni dawa iliyotumika miaka mingapi ktk dunia hii, ikiokoa maisha ya watu? Ilipogundulika ina madhara kwa watoto, mbona ilizuiliwa natena kwa matangazo ili kuwaepusha watoto? Mionzi imetumika dunia nzima kutunza vyakula lakini, baadaye imezuiliwa ili kuwalinda walaji. leo hii unatetea viroba! Mtu anadai eti aelimishwe kabla ya kuzuia viroba.Maisha yako kutokubadilika haimaanishi mambo hayabadiliki, You don't see it coming! Labda kwa sababu hayajakufikia wewe, hata wengine tunaishi vilevile tu, tena kipato kimeongezeka, lakini hatuwezi kaa kimya kwa kua ni wazi kabisa tunaelekea pabaya, huu uhuru unavyopelekwa ovyo, na biashara za watu zinafungwa without warning, hata watengeneza viroba hawakujua ila leo limewafikia, wanaambiwa wafunge bila kupewa muda wowote kuclear inventory, huku walikua wamesign mikataba na wamepewa go~ahead na TBS. Hizo ni ajira zimekufa hapo.
Ni kama umekaa unaona mtoto anachezea wembe kuweka kwenye ulimi alafu kwa kua haujamkata unasema "mbona haujamkata?" you think kila kitu kitaenda sawa. Tunacheza na hatari sasa hivi, probability ni mbili, either tutapita kibishi na kuishia pazuri, au tutaishia pabaya zaidi wamuachie mwingine kuja kufix hizi mistakes baadaye kitu ambacho ni very costful. Investors watakua wamekimbia wote by then kwa hizi treatment za kijinga.
Ninachokataa ni kujidai tumeona muelekeo wa nchi ni mbaya kuliko tulikotoka. Tulikotoka kuna nini cha kujifunza?Umetumia nguvu kubwa kujadili ubinafsi. Hapa hatujadili familia zetu bali mustakbali wa nchi na vizazi vyetu.
Mbona umechagua Zimbabwe bila kwenda South Africa na Myanmar?