Tunachapa vitabu, mabango, brochures kwa bei nafuu

Troubleshooter

Senior Member
Mar 30, 2016
120
135
Habari GStar publishers ni kampuni inayojihusisha na uchapaji wa vitabu, mabango, brochures na business cards kwa bei nafuu. Tunapatikana Kariakoo mtaa wa Jangwani au tupigie kwa simu. 0719682352.

Unapata kazi kwa uharaka na kwaubora wa hali ya juu, vitabu tunaprinti kuanzia kopi 10 na kuendelea, kwetu mteja ni mfalme.

kipeperushi.png
 
Brochure ya Z-Fold mbele na nyuma mnaprint kwa bei gani boss? Na vipi delivery kwa mtu aliyepo Mwenge?
 
Back
Top Bottom