mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,022
- 49,179
Mimi binafsi Sijawahi kuelewa mafundisho ya Prof Janabi,ni kama hataki tufe au hataki tufurahie maisha.
Yaani mtu eti Marufuku kula milo mitatu mara usile nyama nyekundu,juice,chaoati nk
Sasa ili mafundisho yake yakubalike tumuombee kwa Mungu atoboe miaka 90+ kinyume chake mimi na vichwa ngumu wenzangu tutaanza kula supu chapati saba kila siku tukishushia juice,soda ,maana tutajua alikuwa anatudanganya
Live longer Prof