Tumieni Kinga wandugu

Yukwapi

Senior Member
Aug 27, 2024
143
258
Habari za muda huu Wana JF

Leo katika kukaazangu bila ya kazi nikamua bana kumcheki mpenzi wangu nakumuelezea Hali ya afya yangu ili kumpima atanichukuliaje?
Chatting zikawa kama hivi:

Mimi-Maishayangu siyaelewi wangu
Binti-kivipi mbona bila Salam
Mimi- Haina hata haja ya Salam cjui ntaishi muda gan
Binti-Mhhh kwann unasema hivyo
Mimi-Hali ya afya yangu sionzuri tuu nasjui nimetolea wapi huu ugonjwa
Binti- ugonjwa Gani??
Mimi- Acha tuu sijui nikuambiaje
Binti- ebu niambie tuu unaumwa nn maana sielew
Mimi- Nivigum ila kunadawa nilipewa nizitumie Kila siku
Binti- ukimwi?? Au??
Mimi- Ndio wanguu bt cjui nmetolea wap nasijawah kukucht nanlichek kabla cjawah na ww
Binti- Usiwazee mbona watu wanaishi nao tuu nahamna shida nikuzingatia tuu dawa nakumwomba mungu.
Mimi- utaweza kuendelea kuishi na Mimi
Binti-wewe ndiofaraja yangu nakupenda sana watu wanaishi hivyo nawananzisha familia
Mimi- Owk naomba nipumzike akili yangu haipo apa
Binti- Usikate tamaa nausiumize kichwa
Mimi-Bt vp wewe mwisho wa kumpima nilini
Binti-mwaka uliopita nankawa fresh
Mimi- 😭😭😭😭

Dahhh wakuu Hawa madem waskuizi wanaogopa tuu mimbaa nasio Ukimwii huwezi amini nimemuigizia lakini haogopi chochotee anajibu kwa ujasiri tuu😂😂
 
FB_IMG_1741706955308.jpg

Na unapigaga kavu au?mimi huyo wa katikati nikiwa na huzuni kuu nikiwaza jinsi utakula mbaazi maisha yako yote.
 
Habari za muda huu Wana JF

Leo katika kukaazangu bila ya kazi nikamua bana kumcheki mpenzi wangu nakumuelezea Hali ya afya yangu ili kumpima atanichukuliaje?
Chatting zikawa kama hivi:

Mimi-Maishayangu siyaelewi wangu
Binti-kivipi mbona bila Salam
Mimi- Haina hata haja ya Salam cjui ntaishi muda gan
Binti-Mhhh kwann unasema hivyo
Mimi-Hali ya afya yangu sionzuri tuu nasjui nimetolea wapi huu ugonjwa
Binti- ugonjwa Gani??
Mimi- Acha tuu sijui nikuambiaje
Binti- ebu niambie tuu unaumwa nn maana sielew
Mimi- Nivigum ila kunadawa nilipewa nizitumie Kila siku
Binti- ukimwi?? Au??
Mimi- Ndio wanguu bt cjui nmetolea wap nasijawah kukucht nanlichek kabla cjawah na ww
Binti- Usiwazee mbona watu wanaishi nao tuu nahamna shida nikuzingatia tuu dawa nakumwomba mungu.
Mimi- utaweza kuendelea kuishi na Mimi
Binti-wewe ndiofaraja yangu nakupenda sana watu wanaishi hivyo nawananzisha familia
Mimi- Owk naomba nipumzike akili yangu haipo apa
Binti- Usikate tamaa nausiumize kichwa
Mimi-Bt vp wewe mwisho wa kumpima nilini
Binti-mwaka uliopita nankawa fresh
Mimi- 😭😭😭😭

Dahhh wakuu Hawa madem waskuizi wanaogopa tuu mimbaa nasio Ukimwii huwezi amini nimemuigizia lakini haogopi chochotee anajibu kwa ujasiri tuu😂😂
Acha uoga..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom