Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 550
- 1,019
Hatoweza kubonyeza chochote mfano kuzima data kuwasha Bluetooth au wifi mpaka password βJe akiweka kindege mkuu huyo bwana mwivi?
Watumiaji wa iphone ingia setting kwenye simu yako kisha tafuta face id & passcode chuka chini utaona neno use password for power off πNa sisi wa iphone
Teknolojia ni Yetu sote βHii nzuri
Asante Kwa elimu
Wanachomoaga betiri! Lazima itazima tu.π§π¨π ππ π£ππ¦π¦πͺπ’π₯π ππ¨πππ π π¦ππ π¨ π¬πππ’
Je ungependa mtu yeyote ashindwe kuzima simu yako mpaka aweke password ? Najua watu wengi wanaweza kushanga inawezekana vipi ? naam inawezekana.
View attachment 3196781
Watumiaji wa simu za android kuna feature kupitia simu yako inakupa uwezo wa kuweka password, pin, patterns ili mtu akiwa anahitaji kuizima simu lazima haweke password ndo simu izime.
Feature hii ni nzuri sana endapo simu itaibiwa au kupotea haiwezekana kuzimwa mpaka mtu aweze kutoa lock ya simu Unachotakiwa kufanya yafuatayo;
β‘ Ingia setting βοΈ kwenye simu yako
β‘kisha ingia kwenye security and privacy au security & biometric
β‘ Kisha tafuta "required password to turn off" weka on hii feature.
Ukikosa hii tafuta kupitia setting ya simu yako andika hivi
- lock screen to power down
- Power Down confirmation
- passcode to shut down , ni feature ambazo utazitafuta kupitia setting ya simu yako ili kuweza kuzuia mtu asiweze kuzima simu yako mpaka password π, pin au pattern.
Wanajuaga namna ya kuchomoa betiri chap! Inabaki kopo lisilo na akili yoyote.Hii nzuri
Asante Kwa elimu
PoaWatumiaji wa iphone ingia setting kwenye simu yako kisha tafuta face id & passcode chuka chini utaona neno use password for power off π
EXpert hata mm nilikuwa nawaza hivyo hivyo kuzima ni rahisi tuWanajuaga namna ya kuchomoa betiri chap! Inabaki kopo lisilo na akili yoyote.
Unapoweka password kwenye suala la emergency hakuna shida kwani hata siku ikiwa na password ukibonyeza sehemu ya emergency inafanya kaziPale unapopata ajali na kusahau password ,utaimba aleluya,imemtokea jamaa.mpaka kuanza kuhangaika kuflash
Mkuu nimeshindwa.π§π¨π ππ π£ππ¦π¦πͺπ’π₯π ππ¨πππ π π¦ππ π¨ π¬πππ’
Je ungependa mtu yeyote ashindwe kuzima simu yako mpaka aweke password ? Najua watu wengi wanaweza kushanga inawezekana vipi ? naam inawezekana.
View attachment 3196781
Watumiaji wa simu za android kuna feature kupitia simu yako inakupa uwezo wa kuweka password, pin, patterns ili mtu akiwa anahitaji kuizima simu lazima haweke password ndo simu izime.
Feature hii ni nzuri sana endapo simu itaibiwa au kupotea haiwezekana kuzimwa mpaka mtu aweze kutoa lock ya simu Unachotakiwa kufanya yafuatayo;
β‘ Ingia setting βοΈ kwenye simu yako
β‘kisha ingia kwenye security and privacy au security & biometric
β‘ Kisha tafuta "required password to turn off" weka on hii feature.
Ukikosa hii tafuta kupitia setting ya simu yako andika hivi
- lock screen to power down
- Power Down confirmation
- passcode to shut down , ni feature ambazo utazitafuta kupitia setting ya simu yako ili kuweza kuzuia mtu asiweze kuzima simu yako mpaka password π, pin au pattern.
Umeshindwa sehemu gan bossMkuu nimeshindwa.