Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 550
- 1,019
π§π¨π ππ π£ππ¦π¦πͺπ’π₯π ππ¨πππ π π¦ππ π¨ π¬πππ’
Je ungependa mtu yeyote ashindwe kuzima simu yako mpaka aweke password ? Najua watu wengi wanaweza kushanga inawezekana vipi ? naam inawezekana.
Watumiaji wa simu za android kuna feature kupitia simu yako inakupa uwezo wa kuweka password, pin, patterns ili mtu akiwa anahitaji kuizima simu lazima haweke password ndo simu izime.
Feature hii ni nzuri sana endapo simu itaibiwa au kupotea haiwezekana kuzimwa mpaka mtu aweze kutoa lock ya simu Unachotakiwa kufanya yafuatayo;
β‘ Ingia setting βοΈ kwenye simu yako
β‘kisha ingia kwenye security and privacy au security & biometric
β‘ Kisha tafuta "required password to turn off" weka on hii feature.
Ukikosa hii tafuta kupitia setting ya simu yako andika hivi

- lock screen to power down
- Power Down confirmation
- passcode to shut down , ni feature ambazo utazitafuta kupitia setting ya simu yako ili kuweza kuzuia mtu asiweze kuzima simu yako mpaka password π, pin au pattern.