Tumia kinga acha ngono zembe

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
4,025
14,225
Tumieni kinga acheni kuja kuleta masikitiko humu kuhusu mimba, wakati wa mzagamuano hukujua nini kinaweza tokea kwani?

20240114_110804.jpg

NB: DEMU UKIPEWA MIMBA NA UKAKIMBIWA KABLA YA NDOA USILALAMIKE.
 
nyama kwa nyama ndiyo tamu, achana na manailoni hayo

nyama kwa nyama ndiyo tamu, achana na manailoni hayo

Mkono umepumzika kazi?
 
nyama kwa nyama ndiyo tamu, achana na manailoni hayo

every action we take has a consequence, whether positive or negative.
 
Back
Top Bottom