Tumia Incognito Kwa Usalama wako Mtandaoni

Mr_mkisi

New Member
Sep 24, 2024
4
11
Je, umewahi kusearch vitu Mtandaoni ambavyo hupendi mwingine akishika simu yako aone ? Mfano Ukaingia google kwenye website fulani au taarifa fulani alafu taarifa zako zikabaki hapo (search history) na mwingine akashika simu yako akaona ulichokuwa unakitafuta mtandaoni.

Kuna mambo mengine huwa ni siri sio lazima kila mtu akishika simu yako ajue nini huwa unaangalia au kufanya Mtandaoni, lakini wengi husahau kufuta search history au hawajui jinsi ya kufuta.

Ili hilo lisikupate tena kwenye mambo yako ya siri Tumia Incognito,hapo utaingia na kutoka bila kuacha taarifa yako yeyote Mtandaoni.

Incognito ni nini ? Maana ya neno Incognito ni UNKNOWN....Hii ni platform/ search Engine ambayo Google waliianzisha ili kuongeza usalama wa mtumiaji hasa akiwa Mtandaoni.

......ukitumia Incognito IP address yako haita onyesha ni Website gani umetembelea na ukaangalia nini na umesoma nini kwa muda gani .

Pia ....

Haitaacha search history kwenye google search yako.

Je ,Unawezaje kutumia Incognito?

Ni rahisi tu ...ingia kama kawaida google, ukifika kwenye uwanja wa google bofya vidoti vitatu kulia kwenye simu yako kisha utaona neno Incognito.

Bofya neno Incognito hapo itakupeleka kwenye uwanja mwingine (Tabpage) kisha tumia tab mpya kuandika chochote unacho kitaka / kuona .

Nani anafaa kutumia Incognito?
Hii inawafaa wale ambao hawataki kuonekana wanafutilia nini au kutazama maudhui ya aina gani Mtandaoni,pengine simu yako unapenda kuazimisha watu na unahofia wataona unacho kifanya Mtandaoni.

Pia wanaharakati wenye hofu ya kufuatiliwa nyendo zao mtandaoni , hii itakusaidia watu wa mtandao wako unao tumia kuto kujua unafanya nini Mtandaoni na hata watu wanao kufuatilia kupitia IP address yako unayotumia kwa wakati huo.

Ufafanuzi kuhusu Ip address.

Pengine wengi wasijue maana yake ...! Hii maana yake ni utambulisho wa kidigitali. Yaani yeyote ambaye anatumia mtandao (internet) hupewa hii Address kutoka kwa mtoa huduma yako ..

Hii hubeba taarifa za simu yako na watu wa mtandao au anaye kufuatilia ataweza kujua ni kifaa gani unatumia kwa wakati huo ,unaperuzi kutoka wapi ,na unaperuzi nini na anaweza kutumia hiyo ku Activate camera yako ya kifaa chako na kukupiga picha bila wewe mwenyewe kujua.

Hivyo ukitumia Incognito hutaweza kufuatiliwa kivyovyote .

Kuhusu mimi ...
Naitwa Mkisi, mhitimu wa Public Relations & Advertising katika chuo kikuu cha Dar es salaam.
Ni muuzaji wa simu janja (Smartphone) na Laptop,Kariakoo
Je , ungependa kujiunga na group letu ambalo naposti simu na Laptop kwa bei ya jumla ? Na kutoa updates mbali mbali za simu , Laptop na Teknolojia ? .

Tuma sasa neno NIUNGE kupitia ...0628210865

Au nifuatilie kupitia mitandao ya kijamii
Instagram,Facebook na Tiktok
@kisi_mobilestore
 
Kinachoniboa kwenye incognito mode ni ile dark theme, sijajua bado kama kuna option ya kuiondoa bila kubadili lengo mahususi
 
“......ukitumia Incognito IP address yako haita onyesha ni Website gani umetembelea na ukaangalia nini na umesoma nini kwa muda gani”

We jamaa kama hujui how web works tulia na si kulisha watu matango poli.

Incognito haihusuki na ku cover IP Address, taarifa zinaonekana kama kawaida na ISP, incognito ni kwa ajali ya local privacy tu na atleast atttacks kama clickingjaking.

Muache kujifanya wataalamu kwenye mambo ambayo hamyafahamu vyema
 
Ahsante kwa muongozo wako mkuu
 
Je, umewahi kusearch vitu Mtandaoni ambavyo hupendi mwingine akishika simu yako aone ? Mfano Ukaingia google kwenye website fulani au taarifa fulani alafu taarifa zako zikabaki hapo (search history) na mwingine akashika simu yako akaona ulichokuwa unakitafuta mtandaoni.

Kuna mambo mengine huwa ni siri sio lazima kila mtu akishika simu yako ajue nini huwa unaangalia au kufanya Mtandaoni, lakini wengi husahau kufuta search history au hawajui jinsi ya kufuta.

Ili hilo lisikupate tena kwenye mambo yako ya siri Tumia Incognito,hapo utaingia na kutoka bila kuacha taarifa yako yeyote Mtandaoni.

Incognito ni nini ? Maana ya neno Incognito ni UNKNOWN....Hii ni platform/ search Engine ambayo Google waliianzisha ili kuongeza usalama wa mtumiaji hasa akiwa Mtandaoni.

......ukitumia Incognito IP address yako haita onyesha ni Website gani umetembelea na ukaangalia nini na umesoma nini kwa muda gani .

Pia ....

Haitaacha search history kwenye google search yako.

Je ,Unawezaje kutumia Incognito?

Ni rahisi tu ...ingia kama kawaida google, ukifika kwenye uwanja wa google bofya vidoti vitatu kulia kwenye simu yako kisha utaona neno Incognito.

Bofya neno Incognito hapo itakupeleka kwenye uwanja mwingine (Tabpage) kisha tumia tab mpya kuandika chochote unacho kitaka / kuona .

Nani anafaa kutumia Incognito?
Hii inawafaa wale ambao hawataki kuonekana wanafutilia nini au kutazama maudhui ya aina gani Mtandaoni,pengine simu yako unapenda kuazimisha watu na unahofia wataona unacho kifanya Mtandaoni.

Pia wanaharakati wenye hofu ya kufuatiliwa nyendo zao mtandaoni , hii itakusaidia watu wa mtandao wako unao tumia kuto kujua unafanya nini Mtandaoni na hata watu wanao kufuatilia kupitia IP address yako unayotumia kwa wakati huo.

Ufafanuzi kuhusu Ip address.

Pengine wengi wasijue maana yake ...! Hii maana yake ni utambulisho wa kidigitali. Yaani yeyote ambaye anatumia mtandao (internet) hupewa hii Address kutoka kwa mtoa huduma yako ..

Hii hubeba taarifa za simu yako na watu wa mtandao au anaye kufuatilia ataweza kujua ni kifaa gani unatumia kwa wakati huo ,unaperuzi kutoka wapi ,na unaperuzi nini na anaweza kutumia hiyo ku Activate camera yako ya kifaa chako na kukupiga picha bila wewe mwenyewe kujua.

Hivyo ukitumia Incognito hutaweza kufuatiliwa kivyovyote .

Kuhusu mimi ...
Naitwa Mkisi, mhitimu wa Public Relations & Advertising katika chuo kikuu cha Dar es salaam.
Ni muuzaji wa simu janja (Smartphone) na Laptop,Kariakoo
Je , ungependa kujiunga na group letu ambalo naposti simu na Laptop kwa bei ya jumla ? Na kutoa updates mbali mbali za simu , Laptop na Teknolojia ? .

Tuma sasa neno NIUNGE kupitia ...0628210865

Au nifuatilie kupitia mitandao ya kijamii
Instagram,Facebook na Tiktok
@kisi_mobilestore
:D :D :D :D umejaribu kujieleza ila USHAURI. Use INCOGNITO to hide your history NOT YOUR PRIVACY. Mark my words. Hamna kitu una hide hiyo ni geresha tu mkuu watu tuna kuchungulia vizuri tu.
 
Back
Top Bottom