Tumia asali kwa ajili ya kulinda afya yako

Mar 6, 2019
42
21
AFRICAN BEE PRODUCTS ENTERPRISE - MOROGORO
0763-672575
ASALI BORA YA ASILI

1129779

FAHAMU FAIDA ZA ASALI NA JINSI YA KUITUMIA KWA AJILI YA KUIMARISHA AFYA YAKO NA MWILI WAKO.
S/NFAIDAMATUMIZI
1KUUPA MWILI NGUVUASALI, ASALI + CHAKULA(MKATE, CHAI, UJI, VIAZI, CHIPSI)
2KUTIBU MAUMIVU YA VIUNGOTUMIA ASALI + MDALASINI WA UNGA
3KULETA USINGIZI BORAASALI KIJIKO KABLA YA KULALA
4KUONGEZA UWEZO WA KUKUMBUKAASALI MARA KWA MARA
5KUTIBU TUMBO, KUHARAASALI KIJIKO
6KUTIBU JINO LINALOUMAPAKA ASALI KATIKA JINO MDA WA KULALA
7KUFANYA NGOZI KUWA LAINI NA IMARA, KUTIBU NYWELECHANGANYA MAFUTA YA KUPAKA NA ASALI KIASI
8KUTIBU VIDONDA NA MICHUBUKOPAKA ASALI SEHEMU ILIYOATHIRIWA
9KUTIBU VIDONDA KUTOKANA NA AJALI YA MOTOPAKA ASALI KATIKA SEHEMU ILIYOATHIRIWA
10KUTIBU AU KUPUNGUZA PRESHA, UGONJWA WA MOYO NA KISUKARIASALI MARA KWA MARA
11KUONGEZA HAMU YA KUNYWA MAJIASALI MARA KWA MARA
12KUPUNGUZA KIUNGULIAASALI KIJIKO KIMOJA
13KUTIBU KIKOHOZI NA MAFUAASALI+T/WIZI+MDALASINI+MAJANI YA LIMAO+K/SWAUMU
14KURAHISISHA NA KUSAIDIA MFUMO WA MMENG’ENYO WA CHAKULAASALI MARA KWA MARA KABLA YA KULA
15KUSAIDIA MSUKUMO WA DAMU KATIKA MISHIPA KUWA VIZURIASALI MARA KWA MARA
16KUPUMZISHA MWILI, KUPUNGUZA UNENE NA MSONGO WA MAWAZOASALI MARA KWA MARA
17KINGA DHIDI YA MAGONJWA MENGI, NGUVU ZA KIUME NA MATATIZO YA NJIA YA MKOJOASALI
FAIDA ZOTE HAPO JUU ZIMETHIBITISHWA KITAALAMU KWA UTAFITI.
ASALI INA MCHANGANYIKO WA VITU KAMA VILE MAJI KIASI, PROTINI, SUKARI RAHISI, VITAMIN B2, B3, B6, VITAMIN C, MADINI YA Ca, Zn, K, P, Mg, Fe (Kalisiam, Zinki, Chuma, Maginesiam na Fosiforasi).
KWA MASWALI NA MAHITAJI YA ASALI HALISI NA YA ASILI (0763-672575).

Aisee siipendi asali.Yannhuwa inanimiza sanaaaa tumbo .
Yan hata nikiilamba kidogo sana e bwana wee.Tumbo huwa linauma kwa kukata sana.Haijalishi niichange kwenye chai au vp ila kile ki ladha cha asali huwa Kinauma tumbo vibaya sana.
Sasa sijui nitakua na tatizo gan???
 
MziziMkavu njoo utoe ufafanuzi
Asali safi mbichi ndio nzuri kimatibabu Sio Asali zinazo uzwa siku hizi nyingi za asali ni feki sio Asali yenyewe orignal. Asali yenyewe ni ile utakayo weza kuipata katika mzinga wake kabla haija chakachuliwa na wanaofanya biashara ya asali.

Namna ya kutambua asali Feki Tafadhali soma

1.kwanza, chukua njiti ya kibiriti kisha ichovye sehemu yenye baruti kwenye asali unayotaka kuinunua, kisha iwashe njiti hiyo kwa kutumia kibiriti chako, ikiwaka, ujue hiyo ni asali kweli.

2. Pili, dondosha asali chini katika mchanga, ukiona sehemu ya mchanga iliyolowana ikijikusanya pamoja ujue hiyo nii asali orginal.

3.tatu, Chukua karatasi jeupe, dondoshea asali njia juu yake, kama ikichelewa kutokea upande wa pili, ujue hiyo asali safi na inafaaa kwa matumizi ya binaadamu.
Bado kuna njia nyingine ambayo hutumiwa na baadhi ya watu, kama vile kuimwaga katika kiganja cha mkono wako, ukiona tone la mwisho linabakia kwenye chupa kuja mkononi, hiyo ni asali nzuri. Pia wengine huangalia kama ikiwa kwenye chupa huwa inatengeneza alama yenye mfano wa korosho.
 
MziziMkavu njoo utoe ufafanuzi
Asali nzuri ni ile inayo tengenezwa na nyuki wadogo sio nyuki wakubwa lakini Asali yenyewe ya hao nyuki wadogo , uipate katika mzinga wake sio wanayo uza hao wafanya biashara ya Asali . Asali nyingi zinazo uzwa ni Asali hazina faida kimatibabu ni Asali zenye Asidi ya kuleta maradhi mwilini mwako Jihadhari sana.

Dr. Sebi speaks on the hybrid honey bee and it’s honey

Unamsikiliziga huyu sijui mperu sijui my Ecuador mkuu. Hata chakula cha Maziwa anapinga pia.
 
Asali safi mbichi ndio nzuri kimatibabu Sio Asali zinazo uzwa siku hizi nyingi za asali ni feki sio Asali yenyewe orignal. Asali yenyewe ni ile utakayo weza kuipata katika mzinga wake kabla haija chakachuliwa na wanaofanya biashara ya asali.

Namna ya kutambua asali Feki Tafadhali soma

1.kwanza, chukua njiti ya kibiriti kisha ichovye sehemu yenye baruti kwenye asali unayotaka kuinunua, kisha iwashe njiti hiyo kwa kutumia kibiriti chako, ikiwaka, ujue hiyo ni asali kweli.

2. Pili, dondosha asali chini katika mchanga, ukiona sehemu ya mchanga iliyolowana ikijikusanya pamoja ujue hiyo nii asali orginal.

3.tatu, Chukua karatasi jeupe, dondoshea asali njia juu yake, kama ikichelewa kutokea upande wa pili, ujue hiyo asali safi na inafaaa kwa matumizi ya binaadamu.
Bado kuna njia nyingine ambayo hutumiwa na baadhi ya watu, kama vile kuimwaga katika kiganja cha mkono wako, ukiona tone la mwisho linabakia kwenye chupa kuja mkononi, hiyo ni asali nzuri. Pia wengine huangalia kama ikiwa kwenye chupa huwa inatengeneza alama yenye mfano wa korosho.
shukrani sana kwa elimu nzuri. nimeinyaka hiyo
 
Aisee siipendi asali.Yannhuwa inanimiza sanaaaa tumbo .
Yan hata nikiilamba kidogo sana e bwana wee.Tumbo huwa linauma kwa kukata sana.Haijalishi niichange kwenye chai au vp ila kile ki ladha cha asali huwa Kinauma tumbo vibaya sana.
Sasa sijui nitakua na tatizo gan???
pole sana mkuu. hiyo kawaida...either asali unayoipata inakuwa na pollen, hivyo hupelekea allergy..maana kuna watu wengi pollen huwaathiri.
 
Back
Top Bottom