Tumeshindwa Kujenga jengo zuri la abiria bandari ya Zanzibar?

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
8,296
10,849
Pamoja na Zanzibar kuwa kivutio kupanda boti kwenda Zanzibar ni kama unaelekea porini. Hapo passenger terminal ni uchafu mtupu. Watu wanauza mpaka mayai ya kuchemsha, Karanga mbichi mpaka miguu ya kuku.

Ukifika Zanzibar Sasa kwenyewe ni majanga matupu. Ukizubaa unaibiwa hapo hapo bandarini.
 
Umewahi kuliona jengo la abiria la bandari ya Mwanza ?? ... Ni majanga tupu, tena kuna meli kubwa imejengwa pale, Tanzania tumeathiriwa na imani za kambi popote.
 
Nimetumia kivuko cha Kamanga Mwanza,
Majengo ya ovyo pande zote mbili.
Ni vichafu mno.
Bandari ya Unguja, Mkoani Pemba na Dar za ovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…