namkumbuka dr. mihogo alishawahi sema kuwa miaka ijayo taifa la tanzania litakuwa na wataalamu jina kwani elimu imekuwa ya kununua, wanafunzi hawajitumi, wananunua mitihani, sasa naona uncle magu kagusa pale pale, kwani wengi walikuwa wanasomea kujibia mitihani na sio kuelewa kama zamani
Kwanini kauli ya Vilaza aliotolewa na Mhe.Rais inachukuliwa ndivyo sivyo?kama ni issue ya UDOM ukiingia kwenye maofisi ya UMMA na hata ya binafsi hakuna mtumishi aliesoma UDOM anafanya kazi anazaidi ya miaka 8?Rais angetolea mfano kama UDSM ndio ingekuwa issue maana Chuo kile kina watu waliostaafu kazi tayari walisoma pale kwahiyo kwa kusema Taifa la vilaza nadhani angalau ndie ingekaribia ukweli lakini kachuo kale hata bado akajabaree kasababishe Taifa zima liitwe vilaza sio kweli