Tumechoshwa nazo sasa! Tumekinai

Yani kifupi izo picha zimetufikaa hapaaa!!!!! Juu ya macho kutokea unyayonii
 
Reactions: SDG
Acha ale ujana uzee ukimkaribia atatamani azifute Picha hizo.
Hata dadangu kipenzi(Ray C) alikuwa zaidi yake. Ila leo hii hadi anatangaza Nia ya kuolewa, kasahau alivyokuwa anapost enzi za Ujana wake.
Nisamehe sana dada
 
Atakuwa mke bora sana
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…