eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Afadhali wewe umelitambua hiloViongozi mnajua dhahir kua mnacheza na akili zetu kwa hamjali hisia zetu.Ukweli hakuna barua ya rufaa iloenda fifa ila tu ni siasa ya kutufanya tusahau mlio tufanyia msimu kwa kusubiri point 3 za mezani.Na pia mlijua bila kufanya hivyo mngeyakimbia makazi yenu kwani tusinge kubali.Kwa hapo mmetuweza kwani baada ya wiki hata hasira zetu zitaisha,lakini sio uungwana na kama ni hivyo ondokeni.
Mkia ni Mkuu ndu gu wakoManara akili mbovu naye mnamwamini nyinyi mikia
Tupe updates kwanza mkuu kuna kipi ulichokisikia na source ipi alafu ndio ulalamike mkuu, mi ninavyojua kwa mujibu wa GENTAMYCINE barua imeshafika bado kusomwa tu hadharani
Kabakwemchukueni Bashite mwanasimba mwenzenu mfanye maadamano hapo Dar
\\Tatizo lenu mna haraka sana.
Majibu yenu yataletwa mwishoni mwa msimu wa 2017/18
Sasa haraka ya nini?
mchukueni Bashite mwanasimba mwenzenu mfanye maadamano hapo Dar
Kaburu kawaambia jana eti majibu yatatoka leo au leo wanapewa zile point tatu.\\
Mkuu naona umewakata maini kabisa!
Mimi ningekuwa shabiki wa simba nisinge nunua hili suala la FIFA. Jamaa wanajua kweli kucheza na akili za mashabiki wao, na kibaya zaidi mashabiki wanaicheza ngoma vizuri tu.