Pre GE2025 Tume Huru na ya Haki ya uchaguzi inahusu Watanzania wote. Hata WanaCCM wanaihitaji. Sio kuziabudu baadhi ya Familia za viongozi Kutafuta huruma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
29,028
69,696
Bila Shaka hamjambo!

Hata Wana CCM wengi wamechoka kuabudu na kuogopa baadhi ya familia za viongozi.

Hakuna mwana CCM anayependa kuwa Chawa, au mzazi anayefurahia kuona mtoto Wake aliyemzaa anakuwa Chawa WA watu wengine. Yaani umzae mtoto wako, umsomeshe na kumlea kwa jasho na Damu ili mwisho wa siku aje kuwa Chawa na muabudu wa miunguwatu. Hilo kwa kweli wengi linawaumiza.

Katiba MPYA, Tanzania mpya, watu wenye mtazamo Chanya. Mtazamo wa haki, UTU na uwajibikaji.

Watanzania wengi wanapenda mabadiliko ila hawajui namna gani watapata.
Sio tuu upinzani Wala CHADEMA au ACT au Sisi tuso na vyama.

Tunahitaji Tanzania ambayo viongozi wake watachaguliwa katika Uwanja Sawa, wenye Haki.

Tanzania ambayo hakuna mtu ambaye amepewa kinga ya kutoshtakiwa. Iwe ni Rais, Waziri, Jaji au mtu yeyote Yule.

Tunahitaji Tanzania ambayo vyombo vya Dola kama Polisi na usalama wa Taifa, Bunge na mahakama vitakuwa Huru kufanya Kazi kwa kufuata Sheria na Katiba bila kuingiliwa na bila ya Hofu.

Hatuhitaji vijana wetu wageuzwe vibaraka wa viongozi. Bali wawe Watumishi wa taifa letu na Wananchi wetu kwa kufuata Sheria za HAKI.

Hatuhitaji taifa lenye watu wanaofikiri kuwa Haki Zao ni hisani za watu Fulani tena watu hao waliwachagua wenyewe au walitumia hila kuwa viongozi.

Tunahitaji kuungana Watanzania wote, wenye vyama na wasio na vyama. Wenye dini na wasio na Dini.
Watumishi wa vyombo vya Dola na Watumishi wa taasisi zingine.

Tunahitaji HAKI ili kila Mmoja afurahie nchi hii bila kufikiri furaha yake ni hisani ya watu Fulani.

Tunaowajibu wote, iwe ni CCM au CHADEMA au vyama vyote kuhakikisha nchi yetu Ina HAKI katika Kupata viongozi wake.

Tunajua viongozi wanaopatikana kwa HAKI wataongoza kwa HAKI.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Jambo Moja la hakika ni kuwa, watu waliozoea kutumia Uhuru wa wengine na Haki za wengine hawawezi kutosheka na kuacha wenyewe. Na hapo ndipo msemo wa haki haiombwi ilipotokea.

Mungu awabariki
 
Hakuna mwana ccm anayependa kuwa Chawa, au mzazi anayefurahia kuona mtoto Wake aliyemzaa anakuwa Chawa WA watu wengine. Yaani umzae mtoto wako, umsomeshe na kumlea kwa jasho na Damu ili mwisho wa siku aje kuwa Chawa na muabudu wa miunguwatu. Hilo kwa kweli wengi linawaumiza.

Katiba MPYA, Tanzania mpya, watu wenye mtazamo Chanya. Mtazamo wa haki, UTU na uwajibikaji.

Watanzania wengi wanapenda mabadiliko ila hawajui namna gani watapata.
Sio tuu upinzani Wala CHADEMA au ACT au Sisi tuso na vyama.

Tunahitaji Tanzania ambayo viongozi wake watachaguliwa katika Uwanja Sawa, wenye Haki.

Tanzania ambayo hakuna mtu ambaye amepewa kinga ya kutoshtakiwa. Iwe ni Rais, Waziri, Jaji au mtu yeyote Yule.

Tunahitaji Tanzania ambayo vyombo vya Dola kama Polisi na usalama wa Taifa, Bunge na mahakama vitakuwa Huru kufanya Kazi kwa kufuata Sheria na Katiba bila kuingiliwa na bila ya Hofu.

Hatuhitaji vijana wetu wageuzwe vibaraka wa viongozi. Bali wawe Watumishi wa taifa letu na Wananchi wetu kwa kufuata Sheria za HAKI.

Hatuhitaji taifa lenye watu wanaofikiri kuwa Haki Zao ni hisani za watu Fulani tena watu hao waliwachagua wenyewe au walitumia hila kuwa viongozi.

Tunahitaji kuungana Watanzania wote, wenye vyama na wasio na vyama.
Wenye dini na wasio na Dini.
Watumishi wa vyombo vya Dola na Watumishi wa taasisi zingine.
Tunahitaji HAKI ili kila Mmoja afurahie nchi hii bila kufikiri furaha yake ni hisani ya watu Fulani.

Tunaowajibu wote, iwe ni CCM au CHADEMA au vyama vyote kuhakikisha nchi yetu Ina HAKI katika Kupata viongozi wake.

Tunajua viongozi wanaopatikana kwa HAKI wataongoza kwa HAKI.

Jambo Moja la hakika ni kuwa, watu waliozoea kutumia Uhuru wa wengine na Haki za wengine hawawezi kutosheka na kuacha wenyewe. Na hapo ndipo msemo wa haki haiombwi ilipotokea.

Mungu awabariki
Hili jiwe ntalisoma baadae maana nina furaha kupitiliza.

Watz wananifurahisha sana Mwaka huu
 
Uko sawa kabisa mtu mwenye akili timamu hawezi kubali kuwa chawa au kuruhusu mtu Fulani awe dominant kwake. Tunahitaji Katiba mpya ambayo itatuweka huru na huu mfumo mbovu,
 
Bila Shaka hamjambo!

Hata Wana CCM wengi wamechoka kuabudu na kuogopa baadhi ya familia za viongozi.

Hakuna mwana CCM anayependa kuwa Chawa, au mzazi anayefurahia kuona mtoto Wake aliyemzaa anakuwa Chawa WA watu wengine. Yaani umzae mtoto wako, umsomeshe na kumlea kwa jasho na Damu ili mwisho wa siku aje kuwa Chawa na muabudu wa miunguwatu. Hilo kwa kweli wengi linawaumiza.

Katiba MPYA, Tanzania mpya, watu wenye mtazamo Chanya. Mtazamo wa haki, UTU na uwajibikaji.

Watanzania wengi wanapenda mabadiliko ila hawajui namna gani watapata.
Sio tuu upinzani Wala CHADEMA au ACT au Sisi tuso na vyama.

Tunahitaji Tanzania ambayo viongozi wake watachaguliwa katika Uwanja Sawa, wenye Haki.

Tanzania ambayo hakuna mtu ambaye amepewa kinga ya kutoshtakiwa. Iwe ni Rais, Waziri, Jaji au mtu yeyote Yule.

Tunahitaji Tanzania ambayo vyombo vya Dola kama Polisi na usalama wa Taifa, Bunge na mahakama vitakuwa Huru kufanya Kazi kwa kufuata Sheria na Katiba bila kuingiliwa na bila ya Hofu.

Hatuhitaji vijana wetu wageuzwe vibaraka wa viongozi. Bali wawe Watumishi wa taifa letu na Wananchi wetu kwa kufuata Sheria za HAKI.

Hatuhitaji taifa lenye watu wanaofikiri kuwa Haki Zao ni hisani za watu Fulani tena watu hao waliwachagua wenyewe au walitumia hila kuwa viongozi.

Tunahitaji kuungana Watanzania wote, wenye vyama na wasio na vyama. Wenye dini na wasio na Dini.
Watumishi wa vyombo vya Dola na Watumishi wa taasisi zingine.

Tunahitaji HAKI ili kila Mmoja afurahie nchi hii bila kufikiri furaha yake ni hisani ya watu Fulani.

Tunaowajibu wote, iwe ni CCM au CHADEMA au vyama vyote kuhakikisha nchi yetu Ina HAKI katika Kupata viongozi wake.

Tunajua viongozi wanaopatikana kwa HAKI wataongoza kwa HAKI.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Jambo Moja la hakika ni kuwa, watu waliozoea kutumia Uhuru wa wengine na Haki za wengine hawawezi kutosheka na kuacha wenyewe. Na hapo ndipo msemo wa haki haiombwi ilipotokea.

Mungu awabariki
Kweli kabisa!
 
Truth 💯✅
 
Kuwa chawa ni laana iloyosababishwa na hawa mashetani wanaokanyaga haki za wananchi kuwapata viongozi kwa njiia za wazi, huru na haki.

Kwa sasa adui mkuu wa Taifa letu ni hawa waliopora haki za wananchi.
 
HII tUME HURU YA UCHAGUZI NI MUHIMU MNO KWA USTAWI WA TAIFA NZIMA.
TUJIULIZE KWANINI BAADHI YA KIKUNDI CHA WATU HAWAITAKI? WAKU,MBUKE TZ NI YA WOTE SIO YAO!
 
Back
Top Bottom