Tuliwambia Yemen ni moto Israel hawawezi hao

Adiosamigo

JF-Expert Member
Oct 2, 2013
7,612
9,825

Yemen imesema Marekani na uk wamefanya mashambulizi zaidi ya 700 ndani ya yemen. Jana wamefanya press usiku vitu vinashuka watu wakiwa wana tafsiri kiarabu cha press na mzigo upenya wote leo hawana kutufunga kamba waonyeshe walilo intecept hata moja tuu
 
Hayo mliosema Yemen hata jibu mko wapi, huko Israel kunawaka moto. Missiles za Al Houth zimeisha fika Central Israel na bado watajuta, wanafatwa kwa miguu safari hii.


View: https://youtu.be/dIWXyXTnj3k?si=YrLy3AD2WsCCrH67

Tela Aviv watasema zime land kwenye empty spaces kama kawaida yao šŸ˜„

Imefika 6km karibu ya Air port ya Ben Gurion Air port hakuna hata Rada ya Israel imeiona imetembea 2000km kwa dakika 15 tu kutoka Yemen.


View: https://youtu.be/rq0FwQRyf78?si=cMwLbRQcUUUJ12vp

napenda ngoma iende mguu kwa mguu...wateule wa mchongo a.k.a mashoga heavy weight wataomba po tu
 
Hahaha Israel hawawezi vita ya uso kwa uso hata siku moja.
Sasa mbona hamas anakimbilia nyuma ya migongo ya wanawake na watoto na kwenye kambi za wakimbizi, hospitali na mashuleni. Nafikiri hamas angepigana hadharani na sio kwenye migongo ya civilians hii vita ingekuwa imeisha muda sana na mshindi angeshajulikana na mshindwa asingeomba vita tena.


Mbinu hii ameitumia baba yangu alikuwa akikuta watoto wawili wanapigana anawapa uwanja mtwangane hadi mshindi anapatikana kweupeeeee baada ya hapo yule mshindwa anamwambia usimchokoze tena huyo aliyekupiga ama sivyo angekuuwa. Mbinu hii imefanya sisi watoto wake jumla tupo 22 nao wafahamu tunaheshimiana na hatuchokozani maana kila mmoja anaujua mziki wa mwenzake.
 
Back
Top Bottom