Tuliopiga sana pesa za udalali kwenye biashara na bado life gumu tukutane hapa

MAKANGEMBUZI

JF-Expert Member
Dec 21, 2020
2,598
7,374
Bwana bwana miaka ya 2018-2020 kuna goli(duka) la magodoro nilikuwa nauza maeneo ya kinyerezi location ya duka haikuwa mbaya ilikuwa nzuri sana opo road kabisa na wanunuaji wengi walikuwa kipato cha kati.

Sasa bwana ilikuwa akija mteja ni lazima apigwe udalali kama bei ya kuuza ni tsh 200,000 basi godoro ningeliuza tsh 230,000.Ilikuwa godoro halitoki bila mimi kupata hata tsh 15,000 minimum

Nakumbuka kuna mzee mmoja mshabiki wa liverpool alikuja akanikuta nimelala akaniuliza "godoro 5 kwa 6 inchi 8 bei gani" mimi kwa wenge la usingizi nikaropoka tu "laki nne" wakati godoro bei yake ni tsh 210,000 yale ya kitambaa tunaita kashata.

Yule mzee bwana akaingia kwenye kiraumu chake akivuta kibunda cha milioni akanichomolea laki nne akaniuliza "na usafri vipi hakuna kirikuu??" nikamwambia "bodaboda mbona inabeba nalifunga freshi utanipa tsh 20,000 ya usafiri"...mzee akalipia usafiri akanielekeza kwake nikaita boda nikampa tsh 2000(hiyo sehemu gharama yake ni buku) kwahiyo nikawa nimepiga mshindo wa tsh 208,000.

Nilijifunza kitu kuna watu wana hela kiasi kwamba hata ukiwapiga ni sawa na unajiibia mwenyewe imagine hiko kilikuwa kipindi cha anko MAGU.

Jana nilikuwa maaneo ya BL park nachek game ya aseno nikamuona yule mzee niliyemdalalia tsh 200k bado anadunda tu wakati mimi bado najitafuta hahahaha.

Najua mpo wenzangu wengi ambao mmepiga sana mishindo ya udalali(Genji) na bado life ni vita karibuni.
 
Najua mpo wenzangu wengi ambao mmepiga sana mishindo ya udalali na bado life ni vita karibuni.
Shida ya udalali, mawazo ni yaleyale,Jana Leo kesho, keshokutwa, hakuna plane B!
 
Kama sio bikra usioe
Kapeace
 
Piga kwa sababu hata wewe kuna mahali unapigwa hivyo hivyo.

Kuna dawa juzi nimeenda kuchukua inauzwa tsh 1,000 ila yule dada mfamasia akasema 12K, nikacheka nikamwambia dada mi mwenyewe mfamasia tena mfamasiala haswa nipe bei nilipie nichukue changu, kwa aibu sana akaniuliza unahitaji ngapi, nikatoa 10K nikamwambia kata 3 nipe chenchi. Akarudisha 7,000 yangu nikasepa. Ningekua sijui bei ningepigwa.
 
enzi za maguu kariokoo apoo tumekula papuchi kibabee mnoo
FB_IMG_1730552924661.jpg
 
Wewe ni mwizi na kamwe hautafanikiwa kujikwamua kimaisha kwa kutumia mbinu hizo.Utabaki masikini tu kwakuwa kwenye kichwa chako hakuna mawazo mbadala ya namna ya kujipatia kipato zaidi ya kuiba.

Pia hiyo fedha unayodhulumu haiwezi kukaa wala huwezi kufanyia jambo la maana kwakuwa umeipata kirahisi,hivyo inaondoka kiraisi:EASY COME, EASY GO!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom