Tulipokea ndege zetu kwa furaha na ndereno lakini leo hii machozi yanatutoka.Shirika linaendesha kwa ruzuku ya serikali ,Fedha ambayo ingenunua dawa kwenye hospitali zetu-,kujenga barabara na shule .Leo hii zinatupwa shimoni .Tumepata bahati ya kununua ndege mpya lakini mikakati ya biashara haipo.Ndege zetu zikianza kuharibika kama Boeing za jirani zetu sijui tutaweka wapi uso wetu.Mimi nataribi tutarudi pale pale kwenye mwaka 2032