BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,255
- 15,744
Tuliaminishwa humu na genge la watu kwamba ati Magufuli ni dikteta, mara sijui ati anavunja Demokrasia!
Tukaambiwa ati tunapaswa kulikomboa taifa dhidi ya udikteta..... Kila mtu akawa anafoka na kujifanya anadai haki.
Alipoingia Samia tukaambiwa ati Mama anaupiga mwingi, mara ati mama ameifungulia Tanzania kidemokrasia, tukaanza kuona wafuasi wa chadema wanabwata na kumtukuza kwamba ameleta mapinduzi pamoja na FOUR R.
Sijui kama watu hususani wafuasi wa chadema wanaelewa vizuri maana ya DOLA!
Dola sio Samia wala Magufuli. Dola ni mfumo, na kila anayetawala lazima aishi humo.
Leo wafuasi wa Mbowe wamebananishwa na majemedari ya kijeshi wakatoroka na kukimbia. Huu ni woga wa kitoto.
Mlisema Samia ni mama wa demoghasia lakini kumbe sivyo, hataki mbambamba.
Ooohh tunaonewaa, oooooh Magufuli ni dikteta, ooooooh tunataka haki zetu....... kiko wapi?