Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,038
- 4,752
Kama kuna Mbunge ameandaa matamasha na kurekodi matukio anayofanya ni Tulia Ackson. Ameandaa wasanii wakubwa , ameandaa mpira , ameandaa vikundi vyakusaidia nakadhalika . Ila hadi sasa bado wananchi wa Mbeya awataki kumwelewa mama wa watu.
Amezunguka Mbeya mjini hali ngumu ameenda Rungwe nako bado mambo si mambo; amebaki na wakinamama tu vijana na wanaume hakuna anayejitokeza kumuunga mkono. Nadhani mapato yake mengi anayamalizia kwenye matamasha kwa sababu hakuna Mradi wa maana kutoka kwenye fedha zake aliofanya.
Njia pekee aliyobaki nayo nikwenda kushawishi majimbo yagawanywe jambo ambalo pia linaweza lisizae matunda. Anaweza akagawa majimbo kwa maslahi yake na wapiga kura wasimpokee anapokwenda kugombea.
Unadhani atumie njia gani akubalike kama wanavyofanya akina sugu?