Hili ni kati ya kundi bora kuwahi kutoa album kali miaka hiyo, nimezunguka library nyingi ili nipatiwe album yao ila sijafanikiwa , nipo SINGIDA kiukweli nimezunguka.
Baadhi ya nyimbo kali nazozikumbuka katika album hiyo ni hizi hapa, baadhi zinapatikana nyingine hazipatikani, kama unazo aplod tusikie
- Wachuja nafaka i.e dolo+nature+kr muller
-Ya leo kali i.e nature+ doro+ kr muller
- Tunafanya kazi i.e wachuja nafaka ft clepto man x
-Radhia wangu- dollo+nature
-Mzee wa busara - nature+kr muller
-Mzee wa busara remix - nature + inspector harun
- Siikumbuki
-Siikumbuki
-Siikumbuki
Tupeni link, au hata kama unakumbuka mstari wowote katika album hii ulioupenda unukuu basi, kwani ya kale ya dhahabu