Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,258
- 31,527
Ilikuwa inaitwa Vodacom LGE enzi hizo kama haujazaliwa google
Mechi n Azam vs YANGA
REfa Israel MKONGO alionyesha wazi kuipendelea Azam fc
Kijana wangu Stephen mwasika akiwa katika ya wachezaji alimrukia Refa akampa ndonga ya maana
Refa akashtuka akahamaki alienipiga katokea wapi kumbe alitoka KATIKATI ya wachezaji kuhamaki
Yuleyule anamkimbilia hahahaa...
.refaaa alianzaa resiii kama Yuko kili marathon Moshi mwenzie kuona shida nae akamwita mwenzie tuanze haapeleweki hapoo
Hatuhamasishi wachezaji kupiga Refa nawakumbusha tu Hawa wachezaji mnaowafanyia maovu wengine huwa hawana moyo WA uvumilivu
Stephen masika aliamua kujilipua na alimchapa vizuri tu Israel M
Na Toka HAPO ma Refa wakianza kuchezesha kwa ustadi mechi za YANGA
Haitoshi wengi wakichexesha YANGA walikuwa wanaangalia dk za mwisho wako maeneo ya usalama kukimbilia usalama wao
Nawakumbusha marefaa wetu MNAOENDELEA kutia AIBU mechi za Simba haya mamboo Yana mwisho
Yana kikomooo....siku watakutana na Stephen WA sasa watajuta
Mrudi mkakae MJIPANGE hio tar 8 mnafanyaje else loh hao wachezaji waangalien kwa jicho la pili....kufanya MAAMUZI magumu la kawaida kabisa
Na msisahau tutakuwa mfungo HATUTAKI maudhi kabisaaa