Tujuzane mavuno Mikoa mbalimbali

Varius

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
644
503
Inakuaje wadau naomba tujuzane miezi ya mavuno ya mazao ya mahindi,karanga,mpunga,,korosho,alizeti,maharage na mazao mengine mengi ya chakula tuje tununue mazao na kuja kuuza mjini au kuhifadhi bei itakapokuwa nzuri.
 
Mkoa wa Mara hasa wilaya ya Tarime mwezi wa 6 wanavuna mahindi.
 
Asante kwa reply mkuu. Jamani wa Njombe,Dodoma,Morogoro,Arusha na mikoa kadhalika mavuno lini wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…