Tujuzane machimbo ya wachina Dar, furniture na vifaa vya ujenzi

inamaana wachina wameanza na kazi ya useremala.! duuh mwaka huu wabongo wamepatikana tutasikia kila aina ya mlio.
Walianza zamani, miaka kumi imepita Segerea nilitembelea mchina alikuwa anatengeneza masofa na magodoro ya spring. Enzi hizo wakati zimeingia zile sofa zenye shape ya L. Ila sijui kama bado yupo.
Na alikua anatengenezea ndani ya nyumba huwezi jua kama kuna kiwanda ndani.
 
Back
Top Bottom