Tujivunieni kiswahili

Kama uchawi vile nimetoka kusoma mahali sasa hivi kwamba vietnamese wengi walishindwa kusoma marekani kwasababu hawajui kiingereza, ikapelekea wapitwe kimaendeleo na wahamiaji wengine kama wahindi.

Tujivunie kiswahili lakini tuhakikishe tunabonga ngeli vizuri.
Ila kwa wa shule za kata kuijua ngeli vizuri katikati ya watu wanaongea kilugha na huku kiswahili tu kikiwapiga chenga ni mtihani sana 🤣
 
Elimu yako ndo inakunyima fursa huko nje. Ukiwa una elimu nzuri tunaamini utakua good in both swahili and english.
Elimu yetu inatunyima fursa.Hii Iko wazi hata kama hutaki Kwa kulinganisha na mataifa ambayo hayajakumbatia kiswahili kama lugha namba Moja ya taifa lao.
 
Hii nchi kiswahili bado, inashangaza makabila yenye ushawishi bado yameng'ang'ania lugha za kiasili, wachaga wahaya na wasukuma, waliojitahidi kutumia kiswahili bado wamekwama kwenye lugha ya imani na matumaini.
 
Mzuka wanajamvi!

Jamani tujivunieni kiswahili chetu. Ni lugha nzuri tamu kuongea kuliko lugha zote.

Leo nimekutana na m Vietnam hajui kiingereza nilipomuongelesha akanijibu emahuuuu yashoodhaa dah nikabaki kushangaa wtf!
Sawa lakini hakikisha unaongez Kiingereza kizuri pia.
 
Back
Top Bottom