Tujikumbushe; Wakati unasoma shule ya msingi wanafunzi wenzio walikuwa wanakuita jina gani la utani?

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Aug 29, 2022
463
1,132
Tujikumbushe kidogo Wakati unasoma shule ya msingi wanafunzi wenzio walikuwa wanakuita jina gani la utani? na ulikuwa unalipenda au ulipendi
 
Wanafunzi na badhi ya wazee wa mtaani kwetu walikuwa wananiita
"MIZUGO..😂"

Kutokana na tabia yangu ya kupotea ghafla mazingira ya shule... Na kuingia kutulia mitaani
Wazee wakiliza mbona haupo shule nasema "Nazuga zuga kidogo narudi skuli😂😂😂 imetoka iyo"

Nilifanya MIZUGO Hadi kwenye mahafari.
 
Mi hata sikumbuki ila nakumbuka discpline master aliwahi kuniita "Notorious" baada ya misala kuzidi 😂
 
Shule ya sekondari walikuwa wananiita "mnofu"

Juzi nakutana na classmate mmoja mahali akaniita "mnofu" mbele ya wife nikaishia kucheka tu.

Nilikamatwa nimeiba nyama jikoni na rector siku ya wali nikapelekwa parade nikatangazwa mbele ya kadamnasi sema poa tu kwa sababu ilikiwa boys tupu.

Kipindi hiko nipo form two, haya maisha tunatoka mbali sana😂
 
Primary - masikio. O - level - temperature/ budah . A level - second( nlikua nafanana na second master) Chuo - soso( nlikua nakubali Ngoma ya soso by omah lay)
 
Back
Top Bottom