Tujifunze Kiingereza kwa Kiswahili

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,802
34,192
WHAT IS COMPUTER.jpg


TUJIFUNZE KISWAHILI:
1. Charger - kimemeshi
2. Remote - kitenzambali
3. Password - nywila
4. Akala (bladder shoes) - kirikiri
5. Passion fruit - karakara
6. Kangaroo - bukunyika
7. Fridge - jokofu
8. Juice - sharubati
9. Chips - vibanzi
10. PHD - uzamifu
11. Masters degree - uzamili
12. Degree - shahada
13. Diploma - stashahada
14. Certificate - astashahada
15. Keyboard - kicharazio
16. Scanner - mdaki
17. Flash disk - diski mweko
18. Mouse (for a computer) - kiteuzi
19. Floppy disk - diski tepetevu
20. Computer virus - mtaliga
21. Distillation - ukenekaji
22. Evaporation - mvukizo
23. Synthesis - uoanishaji
24. Oesophagus - umio
25. Greenhouse - kivungulio
26. Femur - fupaja
27. Germ cell - selizazi
28. Humus - mboji
29. Nector - mbochi/ntwe
30. Nutrients - virutubisho
31. Crystal - fuwele
32. Appetizers - vihamuzi
33. ATM - kiotomotela
34. Business card - kadikazi
35. Scratch card - kadi hela
36. Simcard - kadiwia/mkamimo
37. Memory card - kadi sakima
38. Microwave - tanuri ya miale
39. Mobile phone - rununu/rukono
40. Stapler - kibanizi
41. Laptop - kipakatalishi
42. Power saw - msumeno oto
43. Duplicating machine - kirudufu
44. Photocopier - kinukuzi
45. Cocktail party - tafrija mchapulo
46. Air conditioner - kiyoyozi
47. Calculator - kikokotozi
48. Lift - kambarau
49. Reaction - radiamali
50. Toothpick - kichokonoo
 
Shukrani, ila kabla kuja kuzoeleka kitaani itakua mtihani, bora wangetohoa maneno ya Kingereza yaliyozoelewa. Kwa mfano kuagiza mhudumu aniletee sharubati itamchanganya tofauti na kuagiza juisi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom