Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,563
- 21,665
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari,
Sasa msimu wa mvua ndo huo umeanza yaani shikamoo mvua!
Msimu huu ni msimu ambao kwa suala la kufua nguo hua ni mgumu sana.
Sababu inayopelekea kuwa mgumu ni kwakuwa nguo zikifuliwa hazikauki.
Sasa ukutane na mtu aliyevalia nguo hizo huwa harufu yake ni mbaya.
Uvundo huwa unanuka vibaya mno, hapa najua kuna ambao washasikia hizo harufu.
Iwe ni kwenye gari la umma basi unaweza tamani kushika ili usisikie.
Hata maofisini pia unakuta mtu mmekaa nae ananuka kauvundo uvundo.