THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,254
- 4,543
Nchi hii imeharibiwa na simba na yanga, zimeharibu uwrzo wa wengi kufikiri mengineNikadhani ni jambo la maana kumbe ni simba na yanga π€£π€£
Hili ni jukwaa la Michezo sio la Siasa.Hivi hakuna mambo ya msingi ya kujadili paka UJINGA UJINGA wa Simba na Yanga. Tukishapata Nani mkubwa halafu inakuwaje? Huu ndio mtaji wa CCM kuendelea kutawala
Ki ukweli nimesikitika sana kwa yale uliyoandika nimejiuliza kabisa.Unazungumzia hayo makombe ya kayoko,kwasababu waamuzi watanzania wanaweza kuifanya timu mbovu ikachukua makombe mara kwa mara,yaani ujue katika haya makombe anayoshikilia yanga 9 ni waamuzi na sio ya yanga kama yanga...
Timu kubwa ni timu ambayo imethibitishwa na vigezo vya kimataifa,Simba ni timu ya 5 kwa ubora na ukubwa barani Afrika kwa mujibu wa CAF na ya kwanza Tanzania,Afrika mashariki na kati.
Kama timu yako haipo kwenye ubora na ukubwa wa CAF usiangaike huku,kwasababu hainatofauti na vikombe vya shule ya msingi ambavyo havina thamani na havijulikani popote
Nakuhusiana na hoja yakwamba ni yakwanza kuanzishwa ni hoja ya malofa na vichaaa kwasababu hata costal union ,pamba n.k zilikuwa yakwanza kuanzishwa kabla ya Belouizdad,Azam,mamelod sundown n.k ila leo huwezi kusema pamba au costal ni kubwa kuliko memolod eti kisa ni yakwanza kuanzishwa.
Eee Mda uende tusubirie KufunguaππNikadhani ni jambo la maana kumbe ni simba na yanga π€£π€£
We shogo nenda kwenye hoja acha mipasho...tatizo unawaza kwa kutumia mkxndu ndio maana unapinga na facts chupi weweKi ukweli nimesikitika sana kwa yale uliyoandika nimejiuliza kabisa.
Hivi na wewe kuna Mwanamke hua anakuruhusu umumwagie ndani bila ndomu azae watoto na wewe kwa akili zako hizo?
Nimejiuliza tu ulichokiandika hapa akikisoma mtoto wako hatosemea nina baba TAILA ?
Ila polee sana yawezekana hayo ndio madhara ya kunyonyeshwa Maziwa wakat mama ako ana mimba nyigine.
Halaf hizo kelele hata Ulaya zipo eti Real Madrid hua ana honga UEFA zote zile anyway na nyie mnaweza fanya hivo.
Ila hakuna Team inaweza fikisha Makombe 30 kwa wizi wala kupewa Medali ya CAF kwa Rushwa labda kama nyie hua mnapata hizo point kwa namna hio ndio maana mnapewa points ila sio kombe.
Mkuu Kombe unalipata kwa Kushinda Match..Medali unaipata kwa kufika fainali na je hizo points unazipata kwa kufanya Nini?πππ
Simba hana ukubwa wowote anabebwa na yule chu**p kubwa pale TFFMpira ni Makombe na sio rekodi za points,
Simba huo ukubwa mnaojipaga mbele ya Yanga mnautoa wapi?
Hua najiuliza tu.
My favourite player Ronaldo ana magoli Mengi kuliko mchezaji yeyote alie active now ila magoli yale tunashindwa kuyatetea bila Kombe la dunia bila Balon dor za kutosha mbele ya Messi.
Arsenal anacheza soka safi sana kwa miaka 5+ saiv zaid ya Manchester United Yangu ila at the end hua tunawauliza mna makombe mangapi Kwenye misimu hio 5 na sisi tunayo mangapi?
Jibu wanapata United tunawazidi makombe kwenye hio miaka 5.
So Simba nyie team yenu ina ukubwa gan?
Makombe Total mnayo mangapi?
Robo fainali za CAF zimewapa nini??
Medali hamna hata kombe hamna just points then zinawapeleka wapi?
NOTE: kwenye Uzi huu ukileta Tusi ukajibu kifalafala nakutukana matusi yote.
Bora ukapita kama unaaga mait au ukaanzisha uzi wako na wew
kwani hill siyo la msingiHivi hakuna mambo ya msingi ya kujadili paka UJINGA UJINGA wa Simba na Yanga. Tukishapata Nani mkubwa halafu inakuwaje? Huu ndio mtaji wa CCM kuendelea kutawala