THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,254
- 4,543
Mpira ni Makombe na sio rekodi za points,
Simba huo ukubwa mnaojipaga mbele ya Yanga mnautoa wapi?
Hua najiuliza tu.
My favourite player Ronaldo ana magoli Mengi kuliko mchezaji yeyote alie active now ila magoli yale tunashindwa kuyatetea bila Kombe la dunia bila Balon dor za kutosha mbele ya Messi.
Arsenal anacheza soka safi sana kwa miaka 5+ saiv zaid ya Manchester United Yangu ila at the end hua tunawauliza mna makombe mangapi Kwenye misimu hio 5 na sisi tunayo mangapi?
Jibu wanapata United tunawazidi makombe kwenye hio miaka 5.
So Simba nyie team yenu ina ukubwa gan?
Makombe Total mnayo mangapi?
Robo fainali za CAF zimewapa nini??
Medali hamna hata kombe hamna just points then zinawapeleka wapi?
NOTE: kwenye Uzi huu ukileta Tusi ukajibu kifalafala nakutukana matusi yote.
Bora ukapita kama unaaga mait au ukaanzisha uzi wako na wew