Matukio haya mawili yametokea kwa kufuatana, CDM wamepata katibu mpya hiyo jana, huku majadiliano yakiendelea kuhusu SG wa CDM mkuu wa nchi nae kateua wakuu wa mikoa
Je JPM kafanya kusudi ili SG asipate airtime?
Michango hasi na chanya inakaribishwa.....