Nawaasa watanzania wote kwa pamoja tuwe wamoja ktk kuilinda nchi yetu.tuonyeshe mapenzi ya kweli ktk hili.kamwe tusikubali wanasiasa watu gawe kiimani,kidini,kisiasa kwamba tukashindwa kushirikiana katika maswala ya kijamii.amani
Na huo ndio ulinzi wa mali tuliyonayo watanzania. Bahati mbaya wezi wa amani, yaani waharibifu wa amani nchini waweza kuwa viongozi wa kisiasa kwa manufaa yao wenyewe. Tuwabaini, na tuwakatae, tuwatenge kabisa kwenye jamii ya Kitanzania