ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 628
- 1,561
Hii kamati haina rushwa nono, wanapata virushwa vidogovidogo. Bora aropoke na asepe. Si mnakumbuka alivyolilia uenyekiti wa PAC? Kwani kule hakuna rushwa? "Usiwamini wanasiasa=Zitto"Hii ni sifa sasa,yaani kamati ndiyo mpya,wabunge wapya,serikali ya utawala wa magufuli hiyo rushwa imetokea lini?
Umeota?safi sana mfano wakuigwa,angekua LEMA hapa ndo kwanza angedai posho iongezwe ili wasipate vishawishi vya kuiba
Huo ni ustaarabu ni busarahahahaha yametimia huwa huyu kijana si ana hizi tuhuma za rushwa maea kwa mara
saasa sa hiii kajiuzuli kwa hasira ama kupisha uchunguzi?
una maanisha niniHuo ni ustaarabu ni busara