Kitendo Rais Samia Suluhu kukutana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe huenda kikafungua ukurasa mpya katika siasa za Tanzania.
Inasemwa kuwa kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu bali kuna maslahi ya kudumu.
Tukubali katika eneo la Afrika Mashariki na Kati kisiasa Kenya wamepiga hatua kubwa, wakati wa uchaguzi wao wa 2017 Raila Odinga alikuwa hasimu mkubwa wa Uhuru Kenyatta lkn ajabu leo Rais Uhuru anampigia kampeni Odinga awe rais na kumuacha Makamu wake Ruto.
Najiuliza, chini ya utawala wa Samia, Je, Tanzania tunaweza kufika huko kiasi kwamba baada ya kipindi cha Mama Samia kwisha achilia mbali kumfanyia kampeni (kum-endorse) Mbowe au mgombea wa chama kingine, Je, Samia anaweza kumruhusu Mbowe na chama chake kufanya kampeni kwa uhuru kama tunavyoona leo Kenya wakifanya kampeni bila kuingiliwa na vyombo vya dola.
Let’s hope for Better.