Sisa Og
Senior Member
- Apr 18, 2024
- 173
- 404
Hii ndo kauli ntamwambia mwanangu. Ntahakikisha naharibu na kusambaratisha hisia za kuzingatia dem au boy kutokana na jinsia yake. Ntamwambia asije kumpa mtu moyo wake hata siku moja. Ntamwambia kwa kutuimia mifano. Naanza na hii:
Ukipita sokoni utakuta kina mama kibao wanauza michicha na nyanya mpaka saa tano hadi saa sita. Nilifanya uchunguzi usio rasmi nikagundua ni masingle mother, maex wa watu kibao na wengine walitelekezwa. In short walipokuwa 20's age walikuwa warembo na walidanganywa na kutumika vya kutosha wengine waliolewa na matajiri na wengine waliolewa na masikini wakiahidi kupambana pamoja lakini zilipopatikana mme alitafuta warembo waliokuwa wanamtesa na hasingewaweza kipindi ni kapuku - wale walioko 20's mode.
Pili, Kwenye watu 100 walioko kwenye ndoa basi jua basi wapo walioingia kwa mikakati, walio survival mode na wengine ni wale "Baby wiki ijayo naolewa ila kuninyandua kuko palepale" kama unaenjoy ndoa yako mkono mmoja juu. Utasikia ndoa ni uvumilivu, tumevumilia shule, shida za kitaa halafu ndoa ambayo unajua ni mpaka kufa.
Tatu, Mapenzi na ngono watu wanavichanganya sana. Unaona ana kifua, black and taller au shape hilo unasema nampenda. Huo ni uselfish na sio upendo. Hiyo ni tamaa ndo maana ukitumia physical appearances kupenda watu basi jiandae kutongoza warembo wa mtaa mzima au kuwashobokea wakaka wote. Unaposema unampenda mtu hakikisha ni serious na ushajua mpaka madhaifu yake kuyavumilia na hapo tunafeli. Mdada mzuri hana hata hela ya vocha. Mkaka handsome ila kibamia Kupenda kwa kuzingatia physical ni kama kutoka na mzee mstaafu au shangazi, wote malengo ni kutimiza haja na kutamba kwa rafiki zako ambao wakati unalia watakaa pembeni kucheka. Ndo watu wakishaelewa what's love utasikia wanasema nataka yeyote as long anapumua. Love is all about emotional connection.
Nne, Hakuna uwezekano wa kumpenda mtu naye akakupenda sawa na wewe labda umtengeneze mwenyewe na huwezi hata Mungu alishashindwa ndo maana alitaka tuendelee kuwa uchi na tusijue mema na mbaya. Kila mtu ana mawazo yake, hisia zake, itikadi na uelewa wake. Shida tunadanganywa na wasanii na movie za kikorea za mpenzi n hidithi za Shakespeare. Watu mioyo ya kupenda wanayo ila utamtoa wapi wa kukupenda kama wewe?
Mwisho. Sishawishi watu wasifall in love ila naeleza ninayoyaelewa na najua yana madhaifu ila yachaganue na yako. Maisha ni mafupi sana jipambanie sana la sivyo historia yako itakuwa imejaa watu waliokuliza tu kwenye mapenzi. Hakuna tuzo ya mapenzi ila kuna tuzo za wapambanaji.
Nishawahi kupenda, kupendwa, kuachwa na kuacha pia. Sijakata tamaa au kuharibika kisaikolojia ila nimepata experience.
Asante