Tuendelee kuwaenzi wafadhili toka Saudia, Kuwait & Iran

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
8,152
8,136
Wafadhili hawa wamefanya mkubwa nchini,
1. Visima vya maji,
2. Ufadhili wa masomo (ngazi ya uzamili na uzamivu-Master na PhD),
3. Nyumba za Ibada na Ujenzi wa barabara ya Dar-Rufiji-Lindi-Mtwara.
4. Tende.
 
Labda kama wanafadhili masomo ya Quran. Maana kwenye elimu dunia hawajawahi kufadhili hata chekechea.

Na visima wanachimba kwenye misikiti ya Suni tu, makazi ya watu na misikiti ya shia wanaruka.
 
Labda kama wanafadhili masomo ya Quran. Maana kwenye elimu dunia hawajawahi kufadhili hata chekechea.

Na visima wanachimba kwenye misikiti ya Suni tu, makazi ya watu na misikiti ya shia wanaruka.
Kwani hiyo misikiti haipo kwenye makazi ta watu?
 
Labda kama wanafadhili masomo ya Quran. Maana kwenye elimu dunia hawajawahi kufadhili hata chekechea.

Na visima wanachimba kwenye misikiti ya Suni tu, makazi ya watu na misikiti ya shia wanaruka.
Hamna nchi za Europe ndio zinatukopesha bila riba ndio mana tumekimbilia kukopa huko😬😃
FWWvd0BWYAAm2L4.jpeg
 
Wafadhili hawa wamefanya mkubwa nchini,
1. Visima vya maji,
2. Ufadhili wa masomo (ngazi ya uzamili na uzamivu-Master na PhD),
3. Nyumba za Ibada na Ujenzi wa barabara ya Dar-Rufiji-Lindi-Mtwara.
4. Tende.
Nini madhumuni ya chambo hicho kama sio kuvua nyangumi, na tuna jua nyangumi anaweza kuangusha Meli.
Jingine katika jamii yeyote hasa Sisi wa kusini mwa Sahara, ni suala la kuishi Kwa pamoja , sio Kwa matabaka au Kwa kufuata jamii fulani, Kwa kingereza rahisi yaani bila kubaguana , sasa kuna jamii fulani huwa wanaaminibau wanatuweka Sisi katika kundi la manyani na wao ndio Binadamu. Je tuna weka mifuko yetu Namba Gani ili tuweze kudhibiti hulka za namna hiyo . Na kuja kujiepusha na yanayobtokea Somalia , au Ilivyotokea Rwanda au Burundi.
 
3. Nyumba za Ibada na Ujenzi wa barabara ya Dar-Rufiji-Lindi-Mtwara
Ufadhili huo ukipofanyika na maeneo hayo yakaanza na makundi ya kigaidi ya kiislamu maeneo ya barabara hiyo ya mkuranga kinbiti na Rufuji .Ufadhili ulienda na huko juku huku nyumba za ibada huku ufadhiki ea ugaidi kwa vijana waswahili humo misikiti fadhiliwa
 
Back
Top Bottom