fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,757
- 2,708
DuuhUongo huo usijaribu
Kajala alishinda Mil.Kumi..unahisi "siasa" zimeingia? teh!
Mara nyingiHabali za muda huu wadau?
Ili mtu aweze kuwa mshindi wa mchezo wa bahati nasib wa BIKO anatakiwa acheze mara ngapi?
Naomba msaad wenu
Umeona eeh... Ukibeti unajua kabisa hapa nimepata au nimepatwa ila hizi nyingine ndio huwa hata siwaelewi.Bora kubet kuliko hiyo hizo bahati nasibu za kitapeli.
SawaBora kubet kuliko hiyo hizo bahati nasibu za kitapeli.
Mkuu tatizo siyo buku!buku ngapi wamewapiga kwa watanzania??nataka kukomesha tabia hii hawa wanafanya makusudi wakijua watanzania hatujui haki zetu na hili nitatizo kubwa kwakutojua haki zetu.Yaani wataka kuuza ng'ombe kwa kesi ya kuku. Vumilia tu, buku mbona hata sadaka tunatoa hizo hizo.