tamuuuuu JF-Expert Member Mar 10, 2014 21,247 27,929 Mar 1, 2017 #1 Ni wazi watumishi Tanzania wanakandamizwa.Ukiukwaji wa utaratibu na haki za wafanya kazi ni mkubwa na wa kutukuka. Ifike mahala sasa watumishi Tanzania waseme basi inatosha. TUCTA imeamua na vyama vyote unganeni na pingeni dhuluma hii. Kama KNCU,KNPA na vyama vingine vilivyopigania haki za mfanyakazi enzi za ukoloni. Muda ni huu. Bodi irudishe fedha Kwani makubaliano hayakuwa hivo. Pia wanaharakati wapiganie TUME HURU YA UCHAGUZI. Hakika watoke hawa watawala kandamizi.
Ni wazi watumishi Tanzania wanakandamizwa.Ukiukwaji wa utaratibu na haki za wafanya kazi ni mkubwa na wa kutukuka. Ifike mahala sasa watumishi Tanzania waseme basi inatosha. TUCTA imeamua na vyama vyote unganeni na pingeni dhuluma hii. Kama KNCU,KNPA na vyama vingine vilivyopigania haki za mfanyakazi enzi za ukoloni. Muda ni huu. Bodi irudishe fedha Kwani makubaliano hayakuwa hivo. Pia wanaharakati wapiganie TUME HURU YA UCHAGUZI. Hakika watoke hawa watawala kandamizi.
mbudunge JF-Expert Member Jul 7, 2015 1,735 1,089 Mar 1, 2017 #3 15%ndio mateso yangu, hapa nipo kijiweni na boda boda walau watoto waenda chooni
tamuuuuu JF-Expert Member Mar 10, 2014 21,247 27,929 Mar 1, 2017 Thread starter #4 mbudunge said: 15%ndio mateso yangu, hapa nipo kijiweni na boda boda walau watoto waenda chooni Click to expand... Pole sana Mkuu,ila kupambana dhidi ya hawa watesi ni jambo la kupandikiza sumu kwa vizazi na watu wote.
mbudunge said: 15%ndio mateso yangu, hapa nipo kijiweni na boda boda walau watoto waenda chooni Click to expand... Pole sana Mkuu,ila kupambana dhidi ya hawa watesi ni jambo la kupandikiza sumu kwa vizazi na watu wote.
shonkoso JF-Expert Member Mar 13, 2015 687 1,455 Mar 1, 2017 #5 Tucta hata website hawana,cwt kwenye home page ya website hamna chochote cha cha maana za ya makosa ya kiundishi kama covey instead of convey,right instead of rights,hamna chochote hapo twafaaaaaaaaa
Tucta hata website hawana,cwt kwenye home page ya website hamna chochote cha cha maana za ya makosa ya kiundishi kama covey instead of convey,right instead of rights,hamna chochote hapo twafaaaaaaaaa
M markbusega JF-Expert Member Oct 12, 2015 826 847 Mar 1, 2017 #6 Nimemshuhudia jamaa Leo akiamua kutembea kurudi nyumbani kwenda kula ilikuwa SAA 7 mchana sina uhakika kama atarudi
Nimemshuhudia jamaa Leo akiamua kutembea kurudi nyumbani kwenda kula ilikuwa SAA 7 mchana sina uhakika kama atarudi
gemmanuel265 JF-Expert Member Feb 16, 2016 8,485 18,048 Mar 1, 2017 #7 markbusega said: Nimemshuhudia jamaa Leo akiamua kutembea kurudi nyumbani kwenda kula ilikuwa SAA 7 mchana sina uhakika kama atarudi Click to expand... Hahahaha
markbusega said: Nimemshuhudia jamaa Leo akiamua kutembea kurudi nyumbani kwenda kula ilikuwa SAA 7 mchana sina uhakika kama atarudi Click to expand... Hahahaha