TUBADILISHANE VITUO VYA KAZI

Nov 26, 2015
9
4
Naitwa Mwl. Augustine John Peter, nafundisha shule ya Sekondari Kemondo iliopo Halmashauri ya Bukoba Vijijini km 19 kutoka Bukoba mjini na km 2 kutoka Kemondo Bay, nahitaji kuhamia Dodoma manispaa, Kama upo tayari, nitafute kwa:-
0767684808
0716784807
tinejoh2011@yahoo.com
tinejoh2011@gmail.com
Watsap natumia namba hyo ya Voda, Facebook natumia Augustine John P.
Karibu tuwasiliane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…