TUBADILIKE

Wervemarcel

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
2,390
3,303
Nimekuwa Mtembezi Wa Maeneo Mengi Hapa Dsm Na Tanzania Kwa Ujumla.

Nimebaini Aibu Hizi Mbili

Utakuta Stationery Ya Msomi Mkubwa Imeendikwa Kwenye Bango Zuri Kwa Herufi Kubwa..STATIONARY... Hii Imekaaje?

Pia, Utakuta Jengo Limeandikwa INTER ... Badala Ya ...ENTER.. Hii Vipi?

Wazungu Wanapasuka Maini Wakiona Haya Nami Nimeshuhudia Kwa Kujificha Wanavyo Pity On Us.

My Take! TUBADILIKE.

Unaweza Share Vioja Vingine Sawia Na Hivi.
 
Richard Mabala, Muingereza kwa asili, alisema, tuhakikishe wageni wakija Tanzania wajue kua wapo eneo ambalo lina Kiswahili kama lugha kuu.

Badala ya kuandika hayo yote, wangesema 'shughuli za uhazili' kwa herufi kubwa na harufi ndogo ndiyo stationery.
'Ingia' kisha kwa herufi ndogo 'Enter'

Ningeunga mkono kama tubadilike yako ingemaanisha tukisukume mbele kiswahili na siyo tujinoe katika kiingereza.
 

Lugha yoyote iwe Kiswahili au Kiingereza ni ngumu.
 
Ha Ha Ha! Dakika Si Chache Nimetoka Kumsikia Mtu Akisema Nitaku DEEP Baadae Akimaanisha Nitaku BEEP.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…