Hili ni wazo tatizo letu na hii katiba mbaya tulionayo hakuna ubunifu. Sisi diaspora tutanashida sana ya kupata simu za uhakika za kuweza kuongea na ndugu zetu Tanzania. Kuna App siku hizi ambazo unaweza kuweka na kupiga simu kutoka popote na kuwa na namba ya simu kabisa kama upo Tanzania. Hii itasaidia sana kuongeza kodi kwa serikali na kutatua tatizo la simu.
Serikali fanyeni utaratibu huu maana utaratibu wa sasa wa lazima kuwa na NIDA ili kuweza kuwa na namba ya simu hauwezi kufanikiwa kwa diaspora badala yake tafuteni uratatibu na App maalumu kwa diaspora tu ambayo ina vigezo vichache na hata namba maalumu ili muweze kupata kodi na kurahisisha kama wenzetu wa kenya. Kenya mfano wana App unalipia $3 kwa mwezi na kupata 200 minutes na ukipiga simu ni kama local. Sisi inabidi tutumie whatApp ambazo hazina uhakika au tununue kadi za simu lakini serikali haipati kodi maana hizo kadi za simu ni za nchi za nje.
Kuna kampuni inaitwa SmileVoice ilikuwa na hii App lakini tatizo ni lazima mtu awe Tanzania kuweza kupata line na lazima uwe na NIDA.