MAWEED JF-Expert Member Oct 11, 2016 3,537 12,159 Apr 28, 2024 #1 Tupe list yako ya movie/series ulizodownload recently
Scars JF-Expert Member Apr 8, 2017 47,305 114,035 Apr 28, 2024 #2 Tuku challenge kwa hizo 480p? Unatumia miwani ya lens gani kuangalia video za Quality ya namna hiyo? Au ndio mambo ya sniper, unaangalia ukiwa umefumba jicho Moja? Episode ya dakika 45 ina MB 67 unaonaje Mzee? Hii ni nyimbo ya dakika 4 tu
Tuku challenge kwa hizo 480p? Unatumia miwani ya lens gani kuangalia video za Quality ya namna hiyo? Au ndio mambo ya sniper, unaangalia ukiwa umefumba jicho Moja? Episode ya dakika 45 ina MB 67 unaonaje Mzee? Hii ni nyimbo ya dakika 4 tu